Sakata la ofisi ya DPP kuvunjwa na kompyuta kuibiwa liliishia wapi?

Babe la mji

JF-Expert Member
Dec 14, 2019
983
2,053
Nakumbuka ni kipindi ambacho afisi ya DPP iligeuka kuwa TRA yani mtuhumiwa anakili kosa kisha analipa fidia mambo yanaisha. Hii iliwahusu wale wenye kesi za uhujumu uchumi.

Lakini ghafla tukasikia ofisi imevunjwa na nyaraka zimeibwa.

Sasa nauliza vipi hili sakata liliishaje?

Vipi watuhumiwa walikanatwa?

Na mbona uma haukujulishwa kilichoendelea wakati hii ni ofisi ya uma?

Muwe na ijumaa njema.
 
Ushahidi wake ni yale mahekalu na mahoteli na ma Hall yanayochepuka Mbweni, Mapinga na kwingineko.
 
Back
Top Bottom