Haya mambo yatasababisha tuonekane watu wa ajabu sana na mataifa mengine
Safiii, Mwaandishi kaandika vizuri habarii "Procedures hazikufuatwa"
Wazungu wenyewe wako na Procedures in naming streets
Umesoma mwenyewe au umesomewa na mtu taahira wewe?Safiii, Mwaandishi kaandika vizuri habarii "Procedures hazikufuatwa"
Wazungu wenyewe wako na Procedures in naming streets
Tuonekane watu wa ajabu kivipi?wewe unaweza kwenda London asubuhi jioni mtaa ukapewa jina lako?Haya mambo yatasababisha tuonekane watu wa ajabu sana na mataifa mengine
Mwandishi ame doubt hiyo statement!! Wewe umedokoa neno bila kutazama maudhui yake! Kuhusu procedures kutofuatwa hayo Ni maneno ya local Ubungo council na siyo ya mwandishi!!Safiii, Mwaandishi kaandika vizuri habarii "Procedures hazikufuatwa"
Wazungu wenyewe wako na Procedures in naming streets
Siyo tuonekane,tayari ss wa ajabuHaya mambo yatasababisha tuonekane watu wa ajabu sana na mataifa mengine
Safiii, Mwaandishi kaandika vizuri habarii "Procedures hazikufuatwa"
Wazungu wenyewe wako na Procedures in naming streets
Unafikiri ni taratibu zipi hazikufuatwa?Kama taratibu hazikufuatwa ni sawa kuondolewa. Hatuwezi kupindisha taratibu ambazo tulijiwekea wenyewe.
Hakuna aliye juu ya sheria.