Sakata la mtaa wa Victor Wanyama latua Ulaya

Siasa za kifala hizi yaan mijitu mingne inawaza siasa kuliko hata Chakula... Nataman nitukane matusi hapa.. Shame on you mlotoa Hilo bango
 
Safiii, Mwaandishi kaandika vizuri habarii "Procedures hazikufuatwa"
Wazungu wenyewe wako na Procedures in naming streets
Athari za kuonekana sisi ni mabwege ni kubwa zaidi kuliko kujifanya kuwa procedures hazikufuatwa.. Kwani hilo bango lingeachwa pale ili waweke mambo Sawa ingekuwaje.. Tunakuwa kama watoto wadogo wanaonyan'ganyana mkate.. Tu nashindwa kujibrand tunakalia majungu na siasa uchwara.. Pathetic.. Ndo maana tunanunua ndege ziwafuate watalii huko waliko kuliko kujitangaza na kufahamika kimataifa zaidi.. Tu nashindwa hata na msumbiji kwa utalii wakati hawana hata vivutio vya uhakika kuliko sisi! Lol!
 
Nchi haiwezi kuendeshwa kihuni. Uhuni uhuni huu ndo umesababisha nchi ikafika hapa.

Aliyeupa huo mtaa jina la huyo mkenya akamatwe.
Anaye endesha nchi kihuni ni dereva wenu walori hafuiti katiba ya nchi wala ilani ya chama chake someni ilani ya chama chake kuhusu watoto wanao Pata mimba shule na yeye anachokisema
 
Mitaa kule kwetu kila mtu anajiwekea jina lake ilimradi aliwahi yeye. Mbona hawaji kuvitoa na kutuambia wafuate taratibu?
 
Nchi haiwezi kuendeshwa kihuni. Uhuni uhuni huu ndo umesababisha nchi ikafika hapa.

Aliyeupa huo mtaa jina la huyo mkenya akamatwe.
Na alietoa hlo bango akamatwe
Kwann alitoa?
 
Back
Top Bottom