Sakata la mtaa wa Victor Wanyama latua Ulaya

N'yadikwa

JF-Expert Member
Aug 10, 2014
6,824
9,521
Tottenham and Kenyan midfielder Victor Wanyama was honoured in Tanzania on Saturday by having a street named after him in Dar es Salaam.
But the gesture looks to have been short-lived as local websites showed a picture of the street sign being taken away the following day.
A statement from the local Ubungo council said procedures to rename a street had not been observed.
There has been no reaction so far from Wanyama, who turned 26 on Sunday.
The footballer was in Tanzania on holiday and had attended a local tournament in the suburb of Ubungo.BBC
ZAIDI:
Victor Wanyama Street in Tanzania axed after a day - BBC News
 
Safiii, Mwaandishi kaandika vizuri habarii "Procedures hazikufuatwa"
Wazungu wenyewe wako na Procedures in naming streets
 
Haya mambo yatasababisha tuonekane watu wa ajabu sana na mataifa mengine
Tuonekane watu wa ajabu kivipi?wewe unaweza kwenda London asubuhi jioni mtaa ukapewa jina lako?
Mambo kama haya utayaona chadema tu,Lowassa aliitwa fisadi miaka 8,kamati kuu ilikaa fasta kwa nusu saa,ikampa uanacham na ugombea urais papo kwa papo,huku wakiwaacha solemba
 
Hivi hilo jina la mtaa mimi linaniongezeaje ujazo kwenye kapu langu la unga
 
Safiii, Mwaandishi kaandika vizuri habarii "Procedures hazikufuatwa"
Wazungu wenyewe wako na Procedures in naming streets
Mwandishi ame doubt hiyo statement!! Wewe umedokoa neno bila kutazama maudhui yake! Kuhusu procedures kutofuatwa hayo Ni maneno ya local Ubungo council na siyo ya mwandishi!!
 
Kama taratibu hazikufuatwa ni sawa kuondolewa. Hatuwezi kupindisha taratibu ambazo tulijiwekea wenyewe.

Hakuna aliye juu ya sheria.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom