Sakata la mtaa wa Victor Wanyama latua Ulaya

Tuonekane watu wa ajabu kivipi?wewe unaweza kwenda London asubuhi jioni mtaa ukapewa jina lako?
Mambo kama haya utayaona chadema tu,Lowassa aliitwa fisadi miaka 8,kamati kuu ilikaa fasta kwa nusu saa,ikampa uanacham na ugombea urais papo kwa papo,huku wakiwaacha solemba
Obama alipewa road kwa masaa
Mangap
 
Aende zake kule...kwani katufanyia nini huyu, manyang'au watampa kijiji kwao!
 
46305e604e965d187cc3aac9df7eec56.jpg
 
Obama alipewa road kwa masaa
Mangap
Ujio wa Obama tofauti na Wanyama ndondo cup.
Ziara ya marais huandaliwa miezi 6 kabla,huwezi kumfananisha Obama na Wanyama
Mstahiki meya alikurupuka tu kama kawaida ya chadema.
Nasikia Tundu Lissu anaenda mahakamani sijui atamburuza nani safari hii
 
Kabisa Mkuu ni upumbavu wa hali ya juu wa hii Serikali ya mabashite. Kuna nchi chungu nzima duniani huyu Wanyama angeweza kwenda kula kuku zake na uwezo wa kufanya hivyo anao. Kwa upumbavu wa haya mabashite kwa sababu tu jina la mtaa huo limetolewa na kiongozi ambaye ni wa CHADEMA basi lazima yafanye ujuha wao. Hili limeipaka matope sana Tanzania badala ya kuiang'arisha duniani kwa hivi karibuni kupata wachezaji wakubwa duniani kutoka EPL.

Haya mambo yatasababisha tuonekane watu wa ajabu sana na mataifa mengine
 
Safiii, Mwaandishi kaandika vizuri habarii "Procedures hazikufuatwa"
Wazungu wenyewe wako na Procedures in naming streets
Sawa.lakini si kuling'oa bango.wangemuita meya.waongee nae meya angejitetea.na kama kungekuwa na kosa.wangeyamaliza wenyewe.
Lakini walivyofanya imeleta picha mbaya kwa mgeni.na watu wa jamii nyingine.hakukuwa na sababu ya kuling'oa.taratibu zingefuatwa wakati lipo.na mambo yangekuwa sawa.
HAWAKUFANYA VIZURI MGENI ANAWEZA AKAJUTA KUJA TANZANIA.
ATAONA KAMA AMEKUJA KUDHARAULIWA.
JINA LA MTAA TU MANENO MANENO KIBAAAAO.
ACHENI USWAHILI
NA NA CHUKI ZA KISIASA.
 
Sahihii....
 
Tuonekane watu wa ajabu kivipi?wewe unaweza kwenda London asubuhi jioni mtaa ukapewa jina lako?
Mambo kama haya utayaona chadema tu,Lowassa aliitwa fisadi miaka 8,kamati kuu ilikaa fasta kwa nusu saa,ikampa uanacham na ugombea urais papo kwa papo,huku wakiwaacha solemba
Swala LA Chadema linatoka wapi mkuu.? Mbona kama umechanganya mambo vile. Jinga wahed
 
Kabisa Mkuu ni upumbavu wa hali ya juu wa hii Serikali ya mabashite. Kuna nchi chungu nzima duniani huyu Wanyama angeweza kwenda kula kuku zake na uwezo wa kufanya hivyo anao. Kwa upumbavu wa haya mabashite kwa sababu tu jina la mtaa huo limetolewa na kiongozi ambaye ni wa CHADEMA basi lazima yafanye ujuha wao. Hili limeipaka matope sana Tanzania badala ya kuiang'arisha duniani kwa hivi karibuni kupata wachezaji wakubwa duniani kutoka EPL.
Haitatatokea mtaa wa dar kuitwa wanyama.
 
Sasa tunalalamika BBC wanaripot mabaya yetu tu..
Hebu tuwe wakweli hapa... Weekend hii tumefanya lipi zuri...
 
Back
Top Bottom