Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 123,237 Reaction score 98,199 Aug 24, 2013 #1 Wana jf,mnakumbuka sakata la kukamatwa maelfu ya kilo ya meno ya tembo aliyokamatwa nayo Hasan Hasanoo mfadhili Wa simba,hivi kesi yake imeishia wapi?
Wana jf,mnakumbuka sakata la kukamatwa maelfu ya kilo ya meno ya tembo aliyokamatwa nayo Hasan Hasanoo mfadhili Wa simba,hivi kesi yake imeishia wapi?
dafity JF-Expert Member Joined Aug 16, 2008 Posts 1,881 Reaction score 2,091 Aug 24, 2013 #2 Uchunguzi haujakamilika, na hautakamilika kamwe!
dafity JF-Expert Member Joined Aug 16, 2008 Posts 1,881 Reaction score 2,091 Aug 24, 2013 #3 Upepelezi Haujakamika
Lovebird JF-Expert Member Joined Sep 27, 2012 Posts 6,751 Reaction score 10,174 Aug 24, 2013 #4 naona umemkumbuka X-wako? vp hajambo?
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 123,237 Reaction score 98,199 Aug 25, 2013 Thread starter #5 Siyo kukumbuka x,inabidi tuelezwe kesi hiyo imeishia wapi?wakati tembo na Mali asjli zetu zinateketea kupitia mikono ya watu wachache,
Siyo kukumbuka x,inabidi tuelezwe kesi hiyo imeishia wapi?wakati tembo na Mali asjli zetu zinateketea kupitia mikono ya watu wachache,
Kaveli JF-Expert Member Joined Dec 4, 2012 Posts 5,467 Reaction score 9,007 Nov 3, 2016 #6 Huyu mtu inaonekana Serikali keshaiweka mfukoni. Bongo full magumashi ! -Kaveli-
Kaveli JF-Expert Member Joined Dec 4, 2012 Posts 5,467 Reaction score 9,007 Nov 3, 2016 #7 Wakuu, hii kamata kamata ya juzi mpaka wakamdaka huyo 'mpemba', eti tayari keshapata DHAMANA? -Kaveli-
Wakuu, hii kamata kamata ya juzi mpaka wakamdaka huyo 'mpemba', eti tayari keshapata DHAMANA? -Kaveli-