Sakata la meno ya tembo

Sakata la meno ya tembo

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,521
Reaction score
96,268
Wana jf,mnakumbuka sakata la kukamatwa maelfu ya kilo ya meno ya tembo aliyokamatwa nayo Hasan Hasanoo mfadhili Wa simba,hivi kesi yake imeishia wapi?
 
Uchunguzi haujakamilika, na hautakamilika kamwe!
 
Siyo kukumbuka x,inabidi tuelezwe kesi hiyo imeishia wapi?wakati tembo na Mali asjli zetu zinateketea kupitia mikono ya watu wachache,
 
Huyu mtu inaonekana Serikali keshaiweka mfukoni.

Bongo full magumashi !

-Kaveli-
 
Wakuu, hii kamata kamata ya juzi mpaka wakamdaka huyo 'mpemba', eti tayari keshapata DHAMANA?

-Kaveli-
 
Back
Top Bottom