iparamasa
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 13,437
- 14,924
Haya mambo yametokea wakati ccm ikiongoza nchi
Yametokea wakati aliyetakiwa kusimamia yasitokee ni ccm
Kwa haraka haraka,haya mambo machache tu yamefanya taifa lipate hasara ya karibu trilioni 200-300,
Makontena ya Siku moja yaliyokaguliwa ni hasara ya trilioni moja kama na nusu,piga hesabu kwa miaka 17, na miaka yote serikali ilyoongoza nchi ni serikali ya ccm.
Serikali ya ccm kupitia wizara ya utumishi ilitakiwa ihakikishe hakuna watumishi hewa,ccm walichofanya ni kulala usingizi mzito na kuruhusu watumishi hewa wapenye ndani ya serikali,hasara ni mabilioni,mtuhumiwa ambaye aliomba kura kuhakikisha hakuna hewa ni serikali ya ccm,lakini hewa hao wamekaa serikalini na ccm ikawa inawalipa mishahara !!!! Leo eti wanajifanya wamekuja na uvumbuzi kama Christopher Columbus!!
Serikali ya ccm katika kuthibitisha hawawezi kusimamia utumishi na nidhamu serikalini,wameruhusu watu wasio na vyeti kutoa Huduma serikalini na wengine wamefanya hivyo kwa karibu miaka 30! Ccm iko madarakani na haichukui hatua! Ndugu zetu wangapi wamekufa kwa kutibiwa na madaktari feki walioruhusiwa kukaa katika nyumba vya kufanya operesheni na serikali ya ccm? Ni baba yako pengine,ni mkeo pengine,ni mwanao pengine au mama yako kafa hospitali na ukikagua listi ya majina ya watumishi feki,mmoja wapo ni yule aliyemfanyia operesheni mkeo,mwanao,baba yako,mama yako!! Tuwashtaki serikali ya ccm?
Tumelipa ada watoto wetu wapate elimu,serikali ya ccm imeweka walimu feki ,ada zetu zimeliwa na watoto wetu wamefeli masomo,enyi ccm,tuwape adhabu gani ili roho zetu zitulie? Watoto wetu wamekosa elimu,wamekuwa wamachinga kwa kuwa hawa kuwa na walimu bora ,na huko kwenye umachinga bado tena mnawapiga!!! Mngewapa walimu sahihi sasa wangekuwa wanarusha ndege ,wangekuwa waalimu vyuo vikuu,mmewakwamisha na bado mnawapiga!!!
Kaa nyumbani muangalie mwanao,amefeli darasa la saba,form four day form six,halafu chukua hotuba ya kiongozi wa ccm anayekuthibitishia kwamba mwanao alikuwa anafundishwa na walimu feki walioajiriwa na serikali ya ccm,wameua ndoto za mwanao,ccm! Ccm! Ccm!
Barabara ngapi zimejengwa na wahandisi feki walioajiriwa na serikali ya ccm na mabilioni mangapi yamekuwa hasara?
Kila wakijifanya kuibua tatizo,ukilichimba unapata jibu.....chanzo ni ccm!! Chanzo ni ccm!!! Chanzo ni ccm !!! Chanzo ni ccm !!! Chanzo ni ccm!!! Chanzo ni ccm!!......
Waliiopandisha twiga kwenye ndege.....ccm!!
Taja kila ulijualo,limefanyika kwa baraka na mikono ya ccm!!