Sakata la makinikia, hakuna makosa yaliyofanywa na kiongozi yeyote aliyepita!

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Aug 28, 2016
8,658
15,784
In politics, there are no laws that are applied to govern the country like the ones we have in Physics, rendering politics and leadership altogether a trial and error game... So any political mishap does not hold one legally accountable that is why to date, most terrible punishment for a politician is to step down...

In politics there is neither right nor wrong... The best option depend on the popular decision or the best option AVAILABLE AT THAT TIME. The decision made at that time, was probably the best decision possible...

Kama leo umepata mpangaji wa nyumba yako kwa laki mbili kwa mwezi na wakati mwaka juzi ulikuwa unaipangisha kwa elfu hamsini kwa mwezi, huwezi sema ulifanya bad decision mwaka juzi... Huyo mpangaji wa elfu hamsini, was the best option possible kwa kuwa hakukuwa na mpangaji wa dau la juu zaidi ya hapo!

CONCLUSION:

Let's be fair kwa viongozi waliopita. Wameshalitumikia taifa hili na waachwe wapumzike. Haina haja ya kufukua makaburi ya zamani wakati bado kuna wafu wengi wapya wanaosubiri kuzikwa...

Katika ripoti aliyotoa mh Zitto (Mb) alisema kuwa ni 4% ya madini yote yaliyopo Tanzania ndio yamekwisha kuchimbwa na bado kuna 96% ya madini yako ardhini yanasubiri kuchimbwa.

So tutumie mda huu kurekebisha sheria na mikataba ili kwenye hiyo 96% tuweze kupata best n hot deals!
 
In politics, there are no laws that are applied to govern the country like the ones we have in Physics, rendering politics and leadership to be a trial and error game... So any political mishap does not hold one legally accountable. The most terrible punishment for a politician is to step down...
In politics there is no right nor wrong... The best option depend on the popular decision. The decision made at that time, was the best decision possible...
Kama leo umepata mpangaji wa nyumba yako kwa laki mbili kwa mwezi na wakati mwaka juzi ulikuwa unaipangisha kwa elfu hamsini kwa mwezi, huwezi sema ulifanya bad decision mwaka juzi... Huyo mpangaji wa elfu hamsini, was the best option possible kwa kuwa hakukuwa na mpangaji wa dau la juu zaidi ya hapo!
Haya tumekusikia, umetoa pointi za maana sana nenda acacia ukalipwe
 
In politics, there are no laws that are applied to govern the country like the ones we have in Physics, rendering politics and leadership altogether a trial and error game... So any political mishap does not hold one legally accountable that is why to date, most terrible punishment for a politician is to step down...
In politics there is neither right nor wrong... The best option depend on the popular decision or the best option AVAILABLE AT THAT TIME. The decision made at that time, was probably the best decision possible...
Kama leo umepata mpangaji wa nyumba yako kwa laki mbili kwa mwezi na wakati mwaka juzi ulikuwa unaipangisha kwa elfu hamsini kwa mwezi, huwezi sema ulifanya bad decision mwaka juzi... Huyo mpangaji wa elfu hamsini, was the best option possible kwa kuwa hakukuwa na mpangaji wa dau la juu zaidi ya hapo!

Wakati ule mwalimu Nyerere alisema ni vema madini yakabaki huko ardhini mpaka tutakapokuwa matured enough kuyachimba au kuleta wawekezaji!
Walipokuja wenye tamaa wakaenda kinyume naye!Mtu yeyote hawezi kusema dili la kuchimba madini kwa kutupa 3% was the best option at that time,no way!
 
Mtu yeyote hawezi kusema dili la kuchimba madini kwa kutupa 3% was the best option at that time,no way!
Hayo maneno ungeyasema kama kulikuja na muwekezaji ambaye alikuwa tayari kutoa 10% royalty tukamkataaa. Ila kama hakukuwepo na muwekezaji aliyekuwa tayari kupanda dau, huyo wa 3% ndiye alikuwa the best option...
 
Mkuu kwani likuwa ni LAZIMA yachimbwe? Kwamba kulikuwa na janga linatukabili kama yashingechimbwa?
 
Mkuu kwani likuwa ni LAZIMA yachimbwe? Kwamba kulikuwa na janga linatukabili kama yashingechimbwa?
Yeah! kulikuwa na ulazima... Hata hivyo Tanzania imekua kiuchumi kwa kasi kubwa zaidi katika enzi za Kikwete kuliko katika vipindi vyote combined (Yani maendeleo yaliyopatikana katika kipindi cha Kikwete ni makubwa kuliko yale yaliyopatikana katika kipindi cha Nyerere+Mwinyi+Mkapa)! Na pia Tanzania ni moja ya nchi za Afrika zisizozalisha mafuta iliyoendelea kwa kasi kubwa kushinda nchi nyingi za bara la Afrika, ukitoa South Afrika (ambayo nayo hii ni kwa sababu ya wazungu na pia sekta ya madini).
Kwa hiyo, sio kwamba hakuna cha maana kilichofanyika huko nyuma.
 
huu ndiyo ujinga wa watanzania.

Mkuu, kwanza lazima uelewe tofauti ya uchimbaji wa dhahabu na uchimbaji wa mafuta!
Uchimbaji wa dhahabu ni kama kamari. You are totally walking blind. So unaweza ukapata dhahabu au usipate. Usipopata pia kumbuka umeshatumia gharama zako (sunk costs) na ukipata unakuwa umepata fedha ambayo inabidi pia ifidie sunk costs...

Ila angalau kuchimba mafuta possibility ya kuyapata mafuta baada ya kugundua sehemu ambapo kuna mafuta ni rahisi tu...

Ni sawa na wewe ukishajua hapo kwako kuna chem chemi, inakuwa ukishachimba mara moja ukaweka bomba, basi huna haja ya kuchimba tena kisima milele. Hilo bomba litaendelea kutoa maji milele. Lakini uchimbaji wa dhahabu, ni lazima uendelee kuchimba ili uendelee kutafuta dhahabu...

!Mtu yeyote hawezi kusema dili la kuchimba madini kwa kutupa 3% was the best option at that time,no way!
 
Unadhani Nyerere hakumuona huyo wa 3%?Kwanini alikataa akisema madini hayaozi?

By the way, achana na mawazo ya huyo mzee. Huyo ndiye aliyeifanya hii nchi ikawa masikini kwa kipindi cha miaka 23. Mwinyi aliichukua hii nchi katika kipindi kigumu sana. Ilifika kipindi watu walikuwa wanavaa magunia kwa ukosefu wa nguo za kuvaa...

Hali ilikuwa mbaya sana. Ni vile tu hakukuwa na utandawazi enzi hizo ndio maana mambo mengi yamebaki gizani. Ila Watanzania walioishi kwenye hii nchi katika kipindi chake, wameptitia wakati mgumu sana kiuchumi...

Na tena ndio mzee huyo huyo aliyemkataa Jakaya, Jakaya ambaye ameisaidia hii nchi kupiga hatua kubwa sana kimaendeleo.
Just for a quick recap,

Wakati JK anaingia madarakani, nchi ilikuwa na benki zisizozidi 5. Ila wakati anaondoka kulikuwa na benki 50.

Wakati JK anachukua nchi, Dar ilikuwa na wakazi 2.5M, ila wakati anaondoka kulikuwa na wakazi karibu 5M.

Hii ina maana kuwa nyumba zilizojengwa Dar Tangu nchi ipate uhuru mpaka JK anaingia madarakani, ni sawa sawa na nyumba zilizojengwa na JK kwa kipindi chake cha miaka kumi!

The data goes on and on...
Katika kipindi cha JK, uchumi mkubwa umerudhi kwa wananchi... Zamani matajiri wakubwa walikuwa ni watu wa ngozi nyeupe tu, ila sasa hivi nenda Kariakoo. Utakuta kumejaa maghorofa ya Wachaga, Wakinga etc. Hii ina maana kuwa watanzania wengi zaidi wamepata na wameweza kukuza mitaji yao ya kibiashara katika kipindi hicho.
Sasa Dar kuna maghorofa kiasi ambacho hwezi hata kuyakumbuka yote na wakati zamani maghorofa yaliyokuwa yanafahamika ni PPF tower na Mafuta house tu!
 
Mkuu, kwanza lazima uelewe tofauti ya uchimbaji wa dhahabu na uchimbaji wa mafuta!
Uchimbaji wa dhahabu ni kama kamari. You are totally walking blind. So unaweza ukapata dhahabu au usipate. Usipopata pia kumbuka umeshatumia gharama zako (sunk costs) na ukipata unakuwa umepafa fedha ambayo inabidi pia ifidie sunk costs...

Ila angalau kuchimba mafuta possibility ya kuyapata mafuta baada ya kugundua sehemu ambapo kuna mafuta ni rahisi tu... Ni sawa na wewe ukishajua hapo kwako kuna chem chemi, inakuwa ukishachimba mara moja ukaweka bomba, basi huna haja ya kuchimba tena kisima milele.

Hilo bomba litaendelea kutoa maji milele. Lakini uchimbaji wa dhahabu, ni lazima uendelee kuchimba ili uendelee kutafuta dhahabu...
Huna ulijualo kuhusu uchimbaji wa dhahabu!!!

Ngoja nikupe elimu kidogo,kabla hata ya kuamua watumie njia gani kufikia ore body(Hapa nazungumzia open pit au underground) huwa inapigwa hesabu ya ratio ya ore to waste!

Wakiona waste(rock mass) ni kubwa sana hivyo itachukua man power na gharama kubwa basi wanaamua kufanya underground badala ya open pit!Either way,tayari wanakuwa na tonnage ya mineral deposit!So kwa kujua hii deposit na grade yake wanaweza piga hesabu kujua wanafuata kiasi gani cha pesa!Kiufupi kabla ya kuchimba wanakuwa na estimate ya gharama za uwekezaji na production watakayopata!

Kuna a series of operation mpaka kufikia production,so hakuna kitu kinaitwa blind mining!Labda kama unazungumzia local,vijana wetu wanavyochimba bila hata kujua wanatafuta kitu gani!

Make no mistake,hakuna mtu wa kuwekeza 3b usd eti ubahatishe!
 
Hayo maneno ungeyasema kama kulikuja na muwekezaji ambaye alikuwa tayari kutoa 10% royalty tukamkataaa. Ila kama hakukuwepo na muwekezaji aliyekuwa tayari kupanda dau, huyo wa 3% ndiye alikuwa the best option...
Unakubali kuwa mikataba ya madini ni ya siri. Baina ya serikali na mwekezaji tu? Je wewe ukiwa mfanyabiashara utamuuzia mteja mali yako kwa bei anayotaka yeye? Au utaendelea kutafuta mteja atakayemudu bei ya bidhaa yako? Je jana Magufuli angemshutumu mkapa au Jk wewe ungekuja kuwatetea hapa leo? Au ni ule udodoki wenu wa kunyonya kila upuuzi unaotemwa na mwenyekiti wenu? Kwa hiyo upumbavu wa jana ni hekima ya leo? Jiongeze
 
Huna ulijualo kuhusu uchimbaji wa dhahabu!!!
Ngoja nikupe elimu kidogo,kabla hata ya kuamua watumie njia gani kufikia ore body(Hapa nazungumzia open pit au underground) huwa inapigwa hesabu ya ratio ya ore to waste!Wakiona waste(rock mass) ni kubwa sana hivyo itachukua man power na gharama kubwa basi wanaamua kufanya underground badala ya open pit!Either way,tayari wanakuwa na tonnage ya mineral deposit!So kwa kujua hii deposit na grade yake wanaweza piga hesabu kujua wanafuata kiasi gani cha pesa!Kiufupi kabla ya kuchimba wanakuwa na estimate ya gharama za uwekezaji na production watakayopata!
Kuna a series of operation mpaka kufikia production,so hakuna kitu kinaitwa blind mining!Labda kama unazungumzia local,vijana wetu wanavyochimba bila hata kujua wanatafuta kitu gani!
Make no mistake,hakuna mtu wa kuwekeza 3b usd eti ubahatishe!
You are 90% right... But you cant eliminate the chances ya kutopata madini even withall these techniques...
 
By the way, achana na mawazo ya huyo mzee. Huyo ndiye aliyeifanya hii nchi ikawa masikini kwa kipindi cha miaka 23. Mwinyi aliichukua hii nchi katika kipindi kigumu sana. Ilifika kipindi watu walikuwa wanavaa magunia kwa ukosefu wa nguo za kuvaa... Hali ilikuwa mbaya sana. Ni vile tu hakukuwa na utandawazi enzi hizo ndio maana mambo mengi yamebaki gizani. Ila Watanzania walioishi kwenye hii nchi katika kipindi chake, wameptitia wakati mgumu sana kiuchumi...

Na tena ndio mzee huyo huyo aliyemkataa Jakaya, Jakaya ambaye ameisaidia hii nchi kupiga hatua kubwa sana kimaendeleo.
Just for a quick recap,
Wakati JK anaingia madarakani, nchi ilikuwa na benki zisizozidi 5. Ila wakati anaondoka kulikuwa na benki 50.
Wakati JK anachukua nchi, Dar ilikuwa na wakazi 2.5M, ila wakati anaondoka kulikuwa na wakazi karibu 5M. Hii ina maana kuwa nyumba zilizojengwa Dar Tangu nchi ipate uhuru mpaka JK anaingia madarakani, ni sawa sawa na nyumba zilizojengwa na JK kwa kipindi chake cha miaka kumi!
The data goes on and on...

Unahisi bado uko ndani ya mada uliyoianzisha mwenyewe?Well quick analysis nimeona kama umeanzisha uzi huu kuwatetea baadhi ya watu!
Nimeshangaa,umemponda Nyerere,ukamsifia Mwinyi maana aliikuta nchi pabaya,umetoka hapo ukamruka Mkapa ukaja kuelezea mafanikio ya JK!Haihitaji degree kuelewa unachofanya!
 
Yeah! kulikuwa na ulazima... Hata hivyo Tanzania imekua kiuchumi kwa kasi kubwa zaidi katika enzi za Kikwete kuliko katika vipindi vyote combined (Yani maendeleo yaliyopatikana katika kipindi cha Kikwete ni makubwa kuliko yale yaliyopatikana katika kipindi cha Nyerere+Mwinyi+Mkapa)! Na pia Tanzania ni moja ya nchi za Afrika zisizozalisha mafuta iliyoendelea kwa kasi kubwa kushinda nchi nyingi za bara la Afrika, ukitoa South Afrika (ambayo nayo hii ni kwa sababu ya wazungu na pia sekta ya madini).
Kwa hiyo, sio kwamba hakuna cha maana kilichofanyika huko nyuma.
Unaposema "Kwa sababu ya wazungu"u namaanisha nini? Kwamba wazungu ni rasilimali? Mbona mtaani kwetu wazungu wapo wengi lakini hakuna maendeleo makubwa? Inferiority?
 
Back
Top Bottom