Mathias Byabato
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 1,055
- 781
hii nchi daah kulikoni..? maana
ccm wanatuzingua.....
vijana kutumiwa na wanasiasa....harakati za uraisi... na siasa majungu..
issue za maendeleo kushabikiwa kikada zaidi..( siasa na mambo ya chama yameshika kasi...)
jamani hii ndio demokrasia..?
plan B ..nini...?
sasa watu wa bukoba lini wataprogress kwa style hii ya minyukano ya kisiasa...
Mbona tatizo hili halikuwahi kujitokeza katika kipindi cha uongozi wa LWAKATARE?Lwakatare jimbo lako linakusubiri huko ngoja hzo hiana ziishe.
Vyombo vya kupanga na kuamua juu ya Maendeleo ya Jamii vikiwa chini ya watu walio tegemezi Kiuchumi, na mbaya zaidi wengi wa hao wakawa na maarifa na elimu isiyoendana na wakati ulipo ni janga katika Jamii husika....watu wa bukoba lini wataprogress kwa style hii ya minyukano ya kisiasa...
tutarajie nini kama baadhi yao hata huo udiwani wao walinunuliwa na chama na mbunge? lakini ni makosa ya wana bkb wenyewe kupenda pilau,tshirts,khanga,buku 2 na pombe za kienyeji sasa ni majuto!Vyombo vya kupanga na kuamua juu ya Maendeleo ya Jamii vikiwa chini ya watu walio tegemezi Kiuchumi, na mbaya zaidi wengi wa hao wakawa na maarifa na elimu isiyoendana na wakati ulipo ni janga katika Jamii husika.
Linaloigharimu Bukoba linasababishwa na Wanabukoba. Na suluhisho lake lazima liitoke huko huko kwa Wanabukoba. Ila hizi ni aibu!