Sakata la madini: CCM kama chama hakina kosa

Teh teh teh
Baada ya kusikia mwenyekiti wao anagawa vyeo kwa watu wanaomsifia basi watoto wa Lumumba wanapishana tu kupongeza ujinga. Mikataba mibovu wasaini wao halafu wajione wasafi teh teh teh
Issue ya kula rambi rambi haiwezi kuwaacha salama.
 
Teh teh teh
Baada ya kusikia mwenyekiti wao anagawa vyeo kwa watu wanaomsifia basi watoto wa Lumumba wanapishana tu kupongeza ujinga. Mikataba mibovu wasaini wao halafu wajione wasafi teh teh teh
Issue ya kula rambi rambi haiwezi kuwaacha salama.
Kweli wagonjwa ni wengi, mikataba ilisainiwa na ccm??, yofautisha chama na serikali zilizokwepo. Wataje wahusika, na sio chama
 

Tatizo lako umejaa kichwani UKADA,hivi Mkapa,Chenge,JK,Kalemani wako vyama gani??Acha ujinga,peleka upumbavu Lumumba na msidhani Watanzania ni wapumbavu sawa eh.
 
Kwanini kwenye mafanikio chama kibebe sifa ila kwenye majanga watu binafsi ndio wabebe lawama na si chama?
 
Hata kwenye mafanikio,tupongeze mtu binafsi na si chama!
 
Ccm kama chama kinapaswa kusimamia nidhamu ya wanachama!Viongozi wa kisiasa serikalini hutokana na vyama,wakifeli ni chama kimefeli kumuweka mtu muadilifu hivyo hakiwezi kukwepa lawama!Ni sawa na kocha,asajili kikosi kibovu halafu wakifungwa walaumiwe wachezaji peke yao eti kisa yeye sio mchezaji!No,wa kwanza kulaumiwa ni kocha,madudu ya viongozi chama hakikwepi lawama!
 
CCM janga la Taifa...nyumba ya serikali anauziwa kimada asiyekuwa mfanyakazi wa serikali..uzalendo huko wapi...kulianzisha tu hakuna namna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…