Frey Cosseny
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 1,984
- 1,409
Chadema wana kitengo cha intelejesia wamefanya juhudi Zipi kumtafuta mwenzao? Je Kama chama wamefanya nini kuhusu kupatikana kwa Ben Saanane? Naona marafiki zake na UTG a. K. A UTI Ndiyo wanaoangaika Vipi? Mbona Ney WA mitego tuliona mawakili Walipelekwa polisi kwa nyodo Vipi kWA Ben Saanane Kulikoni kigugumizi?Kwa maelezo hayo,hiyo ni kazi ya polisi kumtafuta Ben eidha kwa kumhoji Mbowe kama ulivyo eleza au Mwanahalisi kwa jinsi walivyo ripoti juu ya Ben.Lakini polisi wanaona ugumu gani kumtafuta Ben?Ili akipatikana ujulikane ukweli wa nani alimteka?Serikali ina kigugumizi cha nini kumtafuta raia wake kama haihusiki?Tuache porojo kwenye uhai wa mtu
Roma alipotea wasanii na wadau wao wakapaza sauti, sauti ya juu kabisa hadi Roma kapatikana.
Ben kapotea miezi sasa, chadema na wadau wao hawajapaza sauti, na kama wapepaza hiyo sauti, ni ya chini na pengine haikusikika.
Kwa maelezo hayo,hiyo ni kazi ya polisi kumtafuta Ben eidha kwa kumhoji Mbowe kama ulivyo eleza au Mwanahalisi kwa jinsi walivyo ripoti juu ya Ben.Lakini polisi wanaona ugumu gani kumtafuta Ben?Ili akipatikana ujulikane ukweli wa nani alimteka?Serikali ina kigugumizi cha nini kumtafuta raia wake kama haihusiki?Tuache porojo kwenye uhai wa mtu
Yamkini asiseme,mbona Roma hajasema cha maana. Mimi namwombea tu arudi salama kama bado yuko hai.Siku akirudi Ben atasema tusubiri aje
Kwa maelezo hayo,hiyo ni kazi ya polisi kumtafuta Ben eidha kwa kumhoji Mbowe kama ulivyo eleza au Mwanahalisi kwa jinsi walivyo ripoti juu ya Ben.Lakini polisi wanaona ugumu gani kumtafuta Ben?Ili akipatikana ujulikane ukweli wa nani alimteka?Serikali ina kigugumizi cha nini kumtafuta raia wake kama haihusiki?Tuache porojo kwenye uhai wa mtu
Acha ujinga wewe kondoo wa kafara hawezi kwenda kuhoji polisi kwani Ben alikuwa anafanya kazi Polisi? Kwanini mnamuogopa mwajiri wake badala yake mnalazimisha Polisi wawape majibu ambayo alitakiwa awape Mbowe shikeni adabu zenu kusumbua Polisi wetu.Hayo maswali kayaulize polisi wewe mammalia
Wewe mammalia hivi hujui kazi ya polisi ni kulinda raia na mali zao hebu peleka ubashite wenu huko kolomije
Huna akili we we! Jambo liko polisi kisha unataka kitengo cha chama cha inteligensia kiendeshe uchunguzi? Kisha waambiwe wana ingilia uchunguzi wa polisi?Chadema wana kitengo cha intelejesia wamefanya juhudi Zipi kumtafuta mwenzao? Je Kama chama wamefanya nini kuhusu kupatikana kwa Ben Saanane? Naona marafiki zake na UTG a. K. A UTI Ndiyo wanaoangaika Vipi? Mbona Ney WA mitego tuliona mawakili Walipelekwa polisi kwa nyodo Vipi kWA Ben Saanane Kulikoni kigugumizi?
Maneno meeeengi lakini upeo wa kuelewa mdogo. Mbowe hawezi kukubali kuitwa kihuni hata kidogo. Nafasi yake sii ya kuamriwa na makonda kijinga namna ile.Imani na mbowe ilinitoka tangu siku alipohusishwa na kuitwa kuhojiwa kuhusu suala la madawa. Kiukweli ni makosa yalitumika kwanjia aliyotumia makonda.
Lakini kwa uzito wa suala la madawa na athari zake kwa taifa. Yeye kama kiongozi mkubwa wa upinzani angetumia hekima tu na kukubali kwenda kuhojiwa ili kutoa ushirikiano wake. Ngwajima ni mtu makini sana mana yeye alikubali kuenda akahojiwa na akapimwa na ukweli ukabainika na mpaka sasa hakuna anaye mtilia shaka. Lakini huyu yeye kakimbilia mahakamani mapema sana ili akapate kinga ya mahakama.
Kitu hiki sisi wengine bado kinatutia shaka hadi leo. Aliogopa nini kwenda kule kuhojiwa hata kama ni kweli sio njia sahihi?
Alafu na chadema nao wamemkingia kifua moja kwa moja bila uchunguzi wowote kuhusu tuhuma zile.( inamaana anaaminiwa 100% ) hili linatia shaka sana kwa wale wafuatiliaji wa mambo.
Ubabe wa mbowe katika chama hasa ukichukulia uteuzi wa mgombea urais 2015.
Kushikilia uongozi kwenye chama kwa muda mrefu huku akidai demokrasia ni kosa lingine kubwa japo ni gumu kuonekana machoni pa wengi kwa sasa.
Hivyo basi zinapokuja tuhuma kama hizi kwake wengine sisi inatufanya tuzidi kumtilia mashaka. Kulingana na mambo hayo yanajitokeza kwake wazi kabisa.
Kwa kweli ni vizuri kwake aanze kwanza kutumia busara zaidi katika uongozi kama vile wanavyomhimiza Rais kuhusu kuwa na maamuzi ya busara basi na yeye ayafuate hayo. Ili kuondoa mashaka yanayoanza kujijenga miongoni mwa wengi dhidi yake ili tuweze kuwa na upinzani imara ambao ni muhimu kwa maendeleo ya nchi.
Note; nimetoa maoni yangu bila kufungamana na chama chochote kile.