Sakata la IPTL na ESCROW: Kafulila aanza kuumbuka, sasa kusambaza umeme MW 2000 Kenya

Hapo chini ni maneno ya KAFULILA siyo ya kwangu, kumbe KAFULILA anataka fedha za ESCROW walipwe Standard Chartered - Hong kong na siyo IPTL/PAP.
Ona KAFULILA anavyokili kuwa fedha za ESCROW siyo mali ya umma.

View attachment 192792

TAFAKARI CHUKUA HATUA DHIDI YA WANASIASA KANJANJA KAMA KAFULILA

Ni vyema basi watafiti wa masuala ya kisiasa, kiuchumi namaendeleo ya jamii wakajielekeza kuchambua dhana ya ushiriki wa wazawa kwa ubia na makampuni ya kimataifa katika kuwekeza katika miradi mikubwa kadiri nchi yetu inavyosonga mbele kujiletea maendeleo endelevu kuliko kukaa kushupalia suala la IPTL/ESCROW.
 
Mkuu nimekuelewa
naona mm ndio napotoka hebu nifafanulie Kwanini Hela ta TANESCO sio hela ya umma (Serikali)
Kwanini hawa watu wanakuja na ma-Biefcase kuja kukusanya madeni, na kutuwashia umeme wakati Gesi na maji ni vyetu (Kwanini wasitimuliwe na kutaifihwa km Msajili wa Majumba?)
Kuna mikono ya Walafi na mafisadi
Kumbuka ili sakata lilianza tangu enzi za Kikwete na Mwandosya kule nishati na madini
kumbuka Magreda ya kuzowa tope walivyoyeyuka na hayakufuka Mtera wakati Aswan Dam ni lazamani kuliko haya yetu yanayokufa kila siku
Jamani ni Uzalendo hamna kila anayezaliwa leo anataka alete ulaji wake eti mvua za matene
Wizi huu Bab yetu angefufuka angekufa tena
Ni vyema basi watafiti wa masuala ya kisiasa, kiuchumi
namaendeleo ya jamii wakajielekeza kuchambua dhana ya
ushiriki wa wazawa kwa ubia na makampuni ya kimataifa
katika kuwekeza katika miradi mikubwa kadiri nchi yetu
inavyosonga mbele kujiletea maendeleo endelevu kuliko kukaa
kushupalia suala la IPTL/ESCROW.
 
attachment.php

Pigo lingine kwa Wafadhiri wa KAFULILA!!! :A S wink:
 
mm mtanisamehe
kwani sielewi kwanini tunakuwa vibaraka kwa rasilimali zetu wenyewe
Tanesco ya Watanzania haitaweza kuzalisha umeme huo mpaka hao PAKA/IPTL
?
Kwa nini Watanzania wenzetu tunageukana na kumuona Kafulila mbaya
kwanza kwao Kigoma umeme hakuna km Mikoa ya Kilimanjaro Dar, Tanga, Arusha nk

hebu badilikeni
ni mafisadi tu ndio waliopandisha bei ya umeme leo wanajishtukia kwa kutudanganya umeme unashuka, manajua madhara yake kimfumo?ina maana bidhaa zote soda sigara na matumizi majumbani vitashuka, sijawahi kuona
suluhisho ni haya Makampuni YAONDOKE au utafutwe umeme mbadala kuliko mnavyoendelea maslahi ya watu binafsi

Mkuu upo sahihi kabisa, Member humu JF wanatetea matumbo yao na wanakolalia wajomba na sisi mabinamu hawatukumbuki kwani watanzania 14% ndio wanaotumia umeme wanaponzeka wanapokutana na bidhaa zinazozalishwa na viwanda

Kweli wewe ukwaju nimeamini
 
huu uzi wote umejaa vibaraka wa PAP mpaka kina MTV wanajisahau na kusema " mlitaka tuwape umeme bure tanesco" mi nawashauri muache kupiga kelele na tusubiri ripoti itoke ili tujue nani mwizi nani tumbili

Kumbe kuna vibaraka humu nilikuwa cjui
 
mm mtanisamehe
kwani sielewi kwanini tunakuwa vibaraka kwa rasilimali zetu wenyewe
Tanesco ya Watanzania haitaweza kuzalisha umeme huo mpaka hao PAKA/IPTL
?
Kwa nini Watanzania wenzetu tunageukana na kumuona Kafulila mbaya
kwanza kwao Kigoma umeme hakuna km Mikoa ya Kilimanjaro Dar, Tanga, Arusha nk

hebu badilikeni
ni mafisadi tu ndio waliopandisha bei ya umeme leo wanajishtukia kwa kutudanganya umeme unashuka, manajua madhara yake kimfumo?ina maana bidhaa zote soda sigara na matumizi majumbani vitashuka, sijawahi kuona
suluhisho ni haya Makampuni YAONDOKE au utafutwe umeme mbadala kuliko mnavyoendelea maslahi ya watu binafsi

Mkuu upo sahihi kabisa, Member humu JF wanatetea matumbo yao na wanakolalia wajomba na sisi mabinamu hawatukumbuki kwani watanzania 14% ndio wanaotumia umeme wanaponzeka wanapokutana na bidhaa zinazozalishwa na viwanda
attachment.php
 
Mkuu kafulila mpigaji tu

Kafulila mpigaji tu hana issue,mchumia tumbo tu kama kweli si mchumia tumbo akanushe hapa kuhusu tuhuma za yeye kupokea milioni tisini kutoka kwa wafanyabiashara wakubwa walioathirika na kitendo cha waziri mpya wa nishati na madini sospeter muhongo kufunga mirija ya kifisadi waliyokuwa wanatumia kujinufaisha na kuifilisi nchi (rostam,mengi,mkono) ili awachafue na kuwakomoa muhongo na katibu wake maswi?
 
Kumbe kuna vibaraka humu nilikuwa cjui

Kafulila mpigaji tu hana issue,mchumia tumbo tu kama kweli
si mchumia tumbo akanushe hapa kuhusu tuhuma za yeye
kupokea milioni tisini kutoka kwa wafanyabiashara wakubwa
walioathirika na kitendo cha waziri mpya wa nishati na
madini sospeter muhongo kufunga mirija ya kifisadi
waliyokuwa wanatumia kujinufaisha na kuifilisi nchi
(rostam,mengi,mkono) ili awachafue na kuwakomoa muhongo
na katibu wake maswi?
 
KAFULILA AUMBUKA KWA KUSEMA SETH HATAKIWI KENYA
View attachment 186998
mmililki wa IPTL na mwakandege mwanasheria wa IPTL

KAMPUNI ya kufua umeme ya Pan African Power Solution inayoimiliki kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) imezidi kung’aa katika nchi za jumuia ya Afrika Mashariki katika kusambaza nishati ya umeme.

Hatua hiyo inasababishwa na serikali ya Kenya kuipatia barua kampuni hiyo ya kufanya nao kazi ya usambazaji umeme katika mradi unaohusisha nchi mbili za jumuia hiyo, ambazo ni Tanzania na Kenya.

Barua ya Kenya iliyosainiwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Petroli, Injinia Joseph .K. Njoroge ya tarehe 19, Agosti 2014 kwenda kwa Mwenyekiti Mtendaji wa PAP, Harbinder Sing Sethi.

Taarifa zaidi kuhusiana na barua hiyo, yenye kumbukumbu namba ME&D/CONF/3/2/73A iliyokuwa na kichwa cha habari Expression of interest for IPP for 2000MV power generations and supply to Kenya and Tanzania.

Barua hiyo, ilieleza kuwa inazitaka pande tatu hizo ikiwemo PAP, Tanzania na Kenya kukutana haraka kuona ni namna gani uzalishaji huo utaanza haraka iwezekanavyo.
Akithibitisha barua hiyo, Katibu na Mwanasheria Mkuu wa IPTL/PAP, Joseph Makandege alisema kampuni yao inaendelea kuchapa kazi na haitishiki na kauli za wanasiasa kwa kuwa wao si wanasiasa.

‘’Tunafurahi kuwa tunazidi kuaminiwa na serikali mbalimbali ndani na nje ya Tanzania. Hii inadhirisha ufanisi na ueledi wetu katika tasnia nzima ya nishati,’’alisema.

Hivyo, alisema anaamini maneno yote yanayoenezwa juu yao kuwa yanatawaliwa na chuki na wivu wa kibiashara kutoka kampuni zingine za usambazaji wa umeme.

Kutolewa kwa barua hiyo kwa IPTL kutaweza kuondoa sintofahamu iliokuwepo, baada ya Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila(NCCR- Mageuzi) kudai kuwa Seth anayeongoza kampuni hiyo amepigwa marufuku kufanya biashara ya aina yoyote Kenya.

Kafulila alinukuliwa na baadhi ya vyombo vya habari nchini hapa, kuwa Seth ni fisadi na kwamba Kamati ya Bunge ya nchini Kenya imempiga marufuku kufanya biashara nchini humo.
===================================

Chanzo: habarileo
Kafulila mpigaji tu hana issue,mchumia tumbo tu kama kweli
si mchumia tumbo akanushe hapa kuhusu tuhuma za yeye
kupokea milioni tisini kutoka kwa wafanyabiashara wakubwa
walioathirika na kitendo cha waziri mpya wa nishati na
madini sospeter muhongo kufunga mirija ya kifisadi
waliyokuwa wanatumia kujinufaisha na kuifilisi nchi
(rostam,mengi,mkono) ili awachafue na kuwakomoa muhongo
na katibu wake maswi?
 
Semen hvohvo kafulila mjinga ila tembelee page ya DW BONN leo muone nchi wahisani walivyogoma kusaidia bajeti na exchange ya dola ishaanza kuyumba sasa
 
someni citizen ya leo front page badala ya kumshambulia Kafulila wa watu. Tatizo watanzania sijui nani katuloga. Hatuna taarifa muhimu ila tunakimbilia tu kushambulia mtu anayajaribu kutupa taarifa. Inakuwaje hisa asilimia 70 zinanunuliwa kwa million 6 kisha zikauzwa na watu hao hao kwa kupitia mlango wa nyuma kwa mabilioni ya pesa ndani ya muda mfupi? Kwani kigugumizi kiko wapi kuweka mambo hadharani?Na hili tumeshalinasa huku kwenye media watanzania wapenda maendeleo wametumwagia vielelezo lukuki nyie mkejelini tu kafulila ila mtaumbuka
 
Yan natamani niwatukane watu munaombesa kafulila……^!!! Na sio matusi tu ila ata kuwazoa mukatupwe kwenye ziwa victoria kama akivyofanya idd amin maana hamuna hata faida washenzi wakubwa…!!! Safar mutaumbuka sana na ufsad wenu uo nyau nyie
 
Semen hvohvo kafulila mjinga ila tembelee page ya DW BONN leo muone nchi wahisani walivyogoma kusaidia bajeti na exchange ya dola ishaanza kuyumba sasa

(i)which was meant to support the country's 2014/15 general budget, has been suspended pending the release of the IPTL probe reports.

(ii)The donors, said the Finland ambassador, would for the time being wait for the final CAG report before making any categorical commitment to support the national budget.

(iii) "Development partners are now awaiting the CAG report and information about its key findings, as well as a response from government, which will determine our decisions on further disbursements," said the envoy.

USIPOTOSHE UMMA , DONORS WANASUBIRI RIPOTI YA CAG, THIS DOES NOT MEAN WAMECONCLUDE KUWA KUNA UFISADI. DONORS WANASUBIRI FINDS ZA CAG NA KAMA KUNA UFISADI KWELI NI HATUA GANI ZITACHUKULIWA. HIKI NDIO KAFULILA ALICHOFAULU KUKIFANYA, UJINGA WAKE YEYE WA MASLAHI YAKE UNALIUMIZA TAIFA. KAFULILA TUTAMUHUKUMU WATANZANIA KWA KUTUCHELEWESHEA WATANZANIA UTEKELEZAJI WA BAJETI YETU. UPUUZI WA KAFULILA UNAWAGHARIMU MPAKA SHANGAZI ZAKE KAKONKO KULE.

Msitupandikizie ujinga huu ili kututisha kwa maslahi yenu!! Ripoti ya CAG itatoka na haya mnayosema yatapita, mtafute topic nyingine mapema. Donors walitaka kuwanyima misaada Uganda kwa kukataa wanaume kuona!! Donors walitaka kutunyima misaada Tanzania mpaka tukubali kuoana, Donors wamewanyima misaada Zimbabwe sababu wazalendo wamechukua Ardhi yao, mifano ipo mingi yakuonyesha jinsi Donors wanvyofanya mambo kwa maslahi yao siku zote, usituaminishe kuwa wamefanya hivyo kwa maslahi yetu. Kwanza hakuna wizi kwenye account ya escrow.

Hapo chini ni maneno ya KAFULILA siyo ya kwangu, kumbe KAFULILA anataka fedha za ESCROW walipwe Standard Chartered - Hong kong na siyo IPTL/PAP.
Ona KAFULILA anavyokili kuwa fedha za ESCROW siyo mali ya umma

View attachment 192968

Donors wanataka SCB-HK walipwe hizo pesa wanamtanguliza KAFULILA ili apige kelele.
 
Back
Top Bottom