Sakata la Hati Fungamani: Stanbic yalipa faini kama ilivyoamriwa na Benki Kuu

RUCCI

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
1,701
1,714
Benki ya Stanbic Tanzania imesema kuwa tayari imelipa faini kama ilivyoamriwa na Benki Kuu ya Tanzania miezi mitatu iliyopita kufuatia kitendo chake cha kuipatia fedha za udalali kampuni binafsi ya EGMA.

Kwa mujibu wa Waziri wa Fedha, Philip Mpango mwezi uliopita, benki hiyo ilitozwa faini kwa kushindwa kuweka mfumo wa udhibiti, kulingana na sheria za Tanzania, ambao ungeweza kubaini malipo hayo haramu.
======================
Standard Bank Group’s Tanzanian unit said it paid a fine imposed by the East African nation’s central bank over payments made to a local company when the lender helped arrange a government debt offering three years ago.

Finance Minister Philip Mpango said last month the lender had been fined for failing to detect transactions involving Enterprise Growth Markets Advisors Ltd. and for not putting in place “strict procedures of internal control” to comply with Tanzanian law.

“Stanbic Tanzania has complied with all requirements of the Bank of Tanzania and has paid the administrative fine,” Annette Nkini, spokeswoman for Dar es Salaam-based Stanbic Bank Tanzania Ltd., said by e-mail. She didn’t immediately respond to requests for further comment.

The Securities and Exchange Commission announced in November that Standard Bank agreed to a $36.9 million settlement with the SEC and the U.K.’s Serious Fraud Office after the regulator charged the lender with failing to disclose a $6 million payment to EGMA.

Standard Bank in 2013 helped arrange the sale of $600 million of seven-year notes to selected investors for the Tanzanian government. An SEC order found that Standard Bank “did not seek to understand EGMA’s role in the transaction despite red flags that the $6 million payment was intended to induce the government of Tanzania to select Standard and Stanbic as managers for the offering.”

One of EGMA’s directors was a representative of the Tanzanian government and the offering wasn’t finalized until Standard and Stanbic agreed to pay 1 percent of the proceeds of the offering, the SEC said. EGMA Managing Director Gasper Njuu declined to comment.

“We can not comment at this point in time because the matter is still under investigation by authorities,” he said by phone from Dar es Salaam.

Source: BloomBerg
 
Wao wamelipa je kwa upande wa EGMA kesi imefikia wapi? ama ndo zilezile za hadithi za kale?
 
lazima walipe kwani faini ilikuwa ndogo sana hii bank wangeifungia kuanya biashara Tanzania au mpaka tusubiri wamarekani waiblacklist kuwa inafanya laundry money
 
Nliwahi kusoma makala moja kwenye mwananchi kuwa hawa jamaa ni mabingwa wa kutakatisha fedha, na huwa wanajua outcome so wao kulipa fidia si tatzo, ili kukwepa kufungiwa kufanya biashara,

Ni vyema tz ikawa na tahadhar kuhusu bank hii maaana inatumika kwa makusudi, pesa za escrow na hzo zinginne zote zinapitia hapo, na hizo ni zile zinazofahamika je hzo zisizo fahamika?
 
Kama unapiga deal haramu unapata let say 100B na risk yake ni 3B FINE kwanini usiendelee kupiga deal za aina hio?
 
Ingekuwa China benki hii ingefilisiwa na wahusika wote wangefikishwa mahakamani na wao pia wangefilisiwa halafu wangepigwa risasi.
 
Benki ya Stanbic Tanzania imesema kuwa tayari imelipa faini kama ilivyoamriwa na Benki Kuu ya Tanzania miezi mitatu iliyopita kufuatia kitendo chake cha kuipatia fedha za udalali kampuni binafsi ya EGMA.

Kwa mujibu wa Waziri wa Fedha, Philip Mpango mwezi uliopita, benki hiyo ilitozwa faini kwa kushindwa kuweka mfumo wa udhibiti, kulingana na sheria za Tanzania, ambao ungeweza kubaini malipo hayo haramu.
======================
Hii benki ilitakiwa kuwa sanctioned,imekuwa involved na skando nyingi sana. Kuipiga faini peke yake haitoshi! Ingekuwa issue za kawaida kama kushindwa kucomply to Legulator's regulations hapo faini ni sawa. Hili la kupiga deal tena pesa za serikali! This happening only in Tanzania,ilitakiwa wanyang'anywe leseni hapa Tanzania.Benki inajihusisha na wizi wa pesa za serikali then wanaambiwa tu kirahisi kulipa hizo pesa! Mabenki yanatengeneza faida za kufa mtu,hiyo faini kwao ni peanut,walitakiwa wapewe adhabu ili benki nyingine hapa Tanzania wajue kuwa serikali iko kazini na si usingizini.
 
Benki ya Stanbic Tanzania imesema kuwa tayari imelipa faini kama ilivyoamriwa na Benki Kuu ya Tanzania miezi mitatu iliyopita kufuatia kitendo chake cha kuipatia fedha za udalali kampuni binafsi ya EGMA.

Kwa mujibu wa Waziri wa Fedha, Philip Mpango mwezi uliopita, benki hiyo ilitozwa faini kwa kushindwa kuweka mfumo wa udhibiti, kulingana na sheria za Tanzania, ambao ungeweza kubaini malipo hayo haramu.
======================

Ndugu, ushindi bado. Kwanza hawasemi ni kaisi gani wamelipa, msije kushangaa kiasi kikitajwa kuwa kidogo na mnavyodhani. Pili Kesi za wizi, kutakatisha, lazima ziendelee. Hii ni Siriazi Ishu, ni lazima waadhibiwa wawe kama mfano, kwa mabenki mangine ambayo nayo yanafanya uhalifu kama huu, hata hivi sasa ninapooandika.
 
Back
Top Bottom