Mayonene
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 1,595
- 1,419
Ingekuwa Buhari tungeshaona manyoya hapa. Kuna shimo moja ndio yanakaa Malugumi, PAP, IPTL, Deepgreen, Meremeta, Stanbic, utoroshaji pesa za kigeni, Simba Trust huko huwa hawaendagi ukitaka kwenda unachanganyikiwa unarudi unaanza Kuimba Richmond Richmond unakaa chini watu wamesahahu.