Sakata la escrow limemrudisha mchumba wangu

Sakata la escrow limemrudisha mchumba wangu

Mwanaume anaposhindwa kuthamini jinsia yake...
 
E - Eneza
S - Siasa
C - Chota
R - Ridhiki
O - Ondoa
W -Woga

That is ESCROW bnaaa !!
 
escrow hivi hakuna mtu mwenye jina hilo humu?
 
Last edited by a moderator:
Hivi jamani matokeo ya form IV lini

Bado wapo sanaa,wakichoka choka kukaa home tutaanza kusumbuliwa na thread za kuuliza matokeo lini, yakitoka matokeo tunaanza kuulizwa jaman nna C ya needle work D ya agriculture na F ya civics ntachaguliwa, baada ya hapo tunaletewa thread za kuulizwa jaman nmechaguliwa shule flan anaeijua anielezee ikoje, bila kusahau thread za kutafuta magelofriend hivo tutulie movie ndo kwanza inaanza hadi mastering warudi shule sio leo!!!!
 
leo nakwenda maisha club nategemea kusikia sakata la escrow katika mixing za dj
 
Kirikuu ni mdogooo ana akili...kirikuu ni mdogo anazo nguvu anazo nguvu!!!
karibu tuangalie kirikuu ikiisha tunacheki kibena
Salaleee!mtu kapigwa kata funua hapa duuh.
 
Back
Top Bottom