Sakata la Dhamana ya Lema lina athari gani kwenye Uwekezaji /Wawekezaji?

Seif al Islam

JF-Expert Member
Nov 14, 2011
2,156
638
Naomba kupata maoni toka kwenu great thinkers juu ya sakata la Dhamana ya Godbless Lema kwenye sekta ya Uwekezaji na Wawekezaji kama hizo athari zipo.
 
Kutofuata sheria na kuwa juu ya sheria..kuingilia mihimili mingine kusigina demokrasia ubabe usio na tija.....ni mwanzo wa kuwatisha wawekezaji na hatma zao na pesa zao kwenye uchumi usioeleweka.....na usio na vision
Mbumbumbu
 
Naomba kupata maoni toka kwenu great thinkers juu ya sakata la Dhamana ya Godbless Lema kwenye sekta ya Uwekezaji na Wawekezaji kama hizo athari zipo.
Idiot uliyo yaleta ya negative correlation, umekosa hoja za kutuletea.
 
Mimi naona zoezi la kuchagua madiwani likiisha mh,G.Lema atapata dhamana.
 
Naomba kupata maoni toka kwenu great thinkers juu ya sakata la Dhamana ya Godbless Lema kwenye sekta ya Uwekezaji na Wawekezaji kama hizo athari zipo.
Labda niulize uwekezaji unaoongelea ni upi wa kuwekeza kwenye makalio au upi?
 
Back
Top Bottom