Saint Speaker

Speaker

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
6,324
2,238
Kama Ivuga amekua "Saint Ivuga",basi
na mimi naweza kuwa Saint Speaker,...
na kila mtu ajiite Saint *****;

Nahitaji kipimo nijue kama nakaribia kutangazwa mtakatifu au nisubiri
kidogo!
Nikikosa u-Saint na ivuga akabaki kuwa saint najiondoa JF
 
Kama mafisadi wanavyojivua gamba kwa kuvaa gamba lingine na wewe jivushe la utakatifu‘!!

No,me sijivui gamba,...tena hilo neno baya kweli so longer as limetumiwa na watu wabaya tayari!
Naona niishi kitakatifu sasa,na kila mtu anaweza,....kama ivuga kaweza nani atashindwa
 
Nimesema wewe ujivishe la utakatifu.....
 
Kama Ivuga amekua "Saint Ivuga",basi
na mimi naweza kuwa Saint Speaker,...
na kila mtu ajiite Saint *****;

Nahitaji kipimo nijue kama nakaribia kutangazwa mtakatifu au nisubiri
kidogo!
Nikikosa u-Saint na ivuga akabaki kuwa saint najiondoa JF

Dah! saint huh???
 
huwezi kuwa Saint.
Amani iwe nawe:
 
No,me sijivui gamba,...tena hilo neno baya kweli so longer as limetumiwa na watu wabaya tayari!
Naona niishi kitakatifu sasa,na kila mtu anaweza,....kama ivuga kaweza nani atashindwa

kwa nini unafikiri kuwa mimi siwezi kuwa saint?
Amani iwe nawe:
 
kwanini unafikiri siwezi kuwa saint?

hahaha,unachekesha kweli ivuga,...ops,Saint Ivuga
kwa nini unafikiri kuwa unaweza kuwa saint kama mimi Saint Ivuga
nabii hakubaliki kwao, japo mimi sio nabii!
Amani iwe nawe:
 
kwa nini unafikiri kuwa unaweza kuwa saint kama mimi Saint Ivuga
nabii hakubaliki kwao, japo mimi sio nabii!
Amani iwe nawe:

kwa sababu mimi ni mtakatifu toka ndani ya moyo wangu,..
msafi wa maneno na matendo pia,...
i deserve,....and you.....
 
kwa sababu nilikuwa na dhambi(hata wewe unazo nyingi tu)
na sasa hivi nimetubu
na nimemrudia Mungu
na sitarudi tena kwenye njia chafu
na jina la Bwana lihimidiwe
hallelujah

Hahaha,Ivuga usihukumu usije..............
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom