saint augustine university of tanzania(SAUT)

saint augustine university of tanzania(SAUT)

Google wamekionesha kwa juu sana kwa ujumla sijapata picha zake halisi
 
nahitaj kukifahamu chuo hicho

Mbona Hueleweki? Je Unahitaji


  1. Kujua Kipo Wapi Hapa Tanzania?
  2. Kujua Kinafundisha Kozi Zipi?
  3. Kujua Mazingira Yake Yakoje?
  4. Kujua Ada / Karo Yake?
  5. Kujua Ubora Wake Ni Upi Kitaaluma?
  6. Kujua Mafanikio Yake Kwa Wanataaluma Wake Huku Katika Ajira?
  7. Kujua Wanafundishwa Na Wahadhiri Wa Aina Gani?

Anyway Ninachojua Ni Kwamba SAUT Ni Chuo Kikuu Cha Watu Very Intelligent Tena Wa KUTUKUKA Hivyo Nakusihi Tu Unajijua Wewe Ni POPOMA Tafadhali Tafuta Vyuo Vikuu Vingine Kama Cha Hapo Survey Kwa Mbele, TEOFILO Kisanji, KIU, Dodoma Wine University Na KIU. Ukishindwa Kuchaguliwa SAUT Basi Jua Hata MZUMBE Na TUMAINI Watakukataa. Na Ukibahatika Kuchaguliwa SAUT Nenda Kakae Katika Hostel Ya DARFUR Utakifurahia Chuo. Usiahau Kunisalimia MASELA Wangu Wote Wa LUCHELELE Na Hapo Kona Bar Tafadhali ILA Kazana Na Masomo Na Usije Kututia Aibu Kijana. Hakikisha Unasoma Mno ILA Weekend Kamwe Usisahau Kwenda KUPOMBEKA Na KUTUMIKA Ili Ukirejea Darasani AKILI Iweze Kuchaji Vizuri.
 
Namba 3,5 na 6 hvyo ndo nahtaj kuvijua haswa na pia hata nngepata na picha zake chache utakuwa umenisaidia sana.
 
Tatzo hata chuo sikijui kilivyo ndo maana nahtaj kukijua tu wakuu
 
Baed nmechaguliwa huko! Ila ndo hvyo cjui chochote kuhusu hicho chuo.
 
jamani mwenye picha za hicho chuo anaweza kutuwekea Tafadhali.

Hivi mtu kafika mpaka chuo lakini common sense huna?umeshindwa nini ku_google kitu kidogo kama hiko mpaka ukaja huku?unafikiri jf ni encyclopedia nini?
 
Back
Top Bottom