Education Mentor
JF-Expert Member
- Oct 26, 2016
- 396
- 687
- Thread starter
- #41
Bipolar disorder kuna dawa zipo zinazosaidia kurekebisha tatizo Hilo.. ..Naishi na mtu mwenye hiyo Bipolar, je huyu anasaidiwaje maana ni tatizo kwangu na wanaotuzunguka
Bipolar disorder kuna dawa zipo zinazosaidia kurekebisha tatizo Hilo.. ..Naishi na mtu mwenye hiyo Bipolar, je huyu anasaidiwaje maana ni tatizo kwangu na wanaotuzunguka
Pole sana hawa watu wenye shida hyo huwa wanasumbua.....wake hukimbia nyumba zao kabisa hasa kama Mme ana tatizo hiloNaishi na mtu mwenye hiyo Bipolar, je huyu anasaidiwaje maana ni tatizo kwangu na wanaotuzunguka
Pole sana hawa watu wenye shida hyo huwa wanasumbua.....wake hukimbia nyumba zao kabisa hasa kama Mme ana tatizo hilo
kweli?Una pure OCD!!
Okndg naomba ukija uchimbue kwa undan zaid HYPOCONDRICAL ,unafanya kz nzur saaana naipenda sana mental health bas tuu
Kweli kama jina lake halichachi na ndio msaada anahitaji.....hahahahaNi vyema huo msaada ujipe mwenyewe kwanza maana hata tabia hiyo ya kujifanya ni mjuaji sana wa tabia za wengine ni moja ya matatizo ya kiakili
Sasa nimekuelewa vizuriWewe na wendawazimu wenzako nendeni mkapate huo msaada
Karibu sana mkuuHongera,ni mada nzuri sana
Muda ukifika ntaelezaunapatikana wapi? hospital gani labda
uwe na amani mkuuunapatikana wapi? hospital gani labda
Yaani ww una OCD iliyopea,hata matibabu yako km atafanya makosa kidogo anayekupa counseling,anaweza kukufanya ukawa kichaa kamili. Hatua muhimu ya kuchukua ili uanze kukabiliana na tatizo hili kabla ya kumuona daktari wa magonjwa ya akili,uanze kwanza kukubali kwamba hilo ni tatizo na unahitaji tiba. Ni lazima kwanza ww ujue kwamba hilo ni tatizo. Na namna ya kujua ni rahisi tu. Km unafanya kitu kinachowakera wengi ktk jamii uliyopo,maana yake ww ndo tatizo.mm najiulizaga hivi ni roho mbaya au nasema basi naacha maana ntashindwa kuishi na watu ,lakini wapi siwezi kufumbiaga macho
Soma post number #63 nilichomshauri mwenzio ndo hicho hicho inabidi ukifuate pia. Nyie ni wagonjwa kamili wa OCD tena iliyovuka kiwango cha kawaida!!hii tabia kumbe tunayo wengi,mi sa nyingine nikikaa peke angu naanza kujiuliza hivi hii ndo gubu au ni nini?Lakini najiona sina gubu ila wao ndo wana dharau nnachokifanya
okSoma post number #63 nilichomshauri mwenzio ndo hicho hicho inabidi ukifuate pia. Nyie ni wagonjwa kamili wa OCD tena iliyovuka kiwango cha kawaida!!