Saikolojia: Fahamu magonjwa ya kisaikolojia, dalili,tabia na mifano.(Case study Tanzania)

Mi hainipi kero ila atakaekuja kuvuruga nilipopanga ndo hatari inaanzia hapo,hata nisipomwambia nimekwazika ntabaki nimenuna huku namchekea,nanung'unika siku nzima yaani nahisi amedharau nilichokifanya
Uyo ni mm kabisa
kiasi hata ndugu zangu wananichukia nikianza kupiga deki sitaki kumuona mtu kapitisha guu lake, yani wananijua ntanuna ntarudia sili sikuhiyo ntakavyonuna...
Halafu sipendi mtu asijue thamani ya nilichokifanya... unapokanyaga nilipodeki nakufokea hata ukiwa mkubwa kwangu... yani mm na mazingira mazingira na mm, mpaka wananiambiaga nyumbani kwako hatutakuja...
 
kwa namna hiyo pia Michael Jackson nae alikuwa anavaa groves lakini kishikana mikono na mtu lazima aende kunawa mikono hata kama katika siku anashikana mikono na watu kumi kwa kipindi tofautitofauti
 
mm binafsi hainikeri. ila wanaoharibu ndio wananikera mpaka tunachukiana... kiukweli sipendi kabisa mazingira machafu machafu... ila ni katika mazingira ndio sana.... yani ukitaka tusielewane haribu mazingira yangu
Tunafanana
 
Yani niko radhi kupiga deki hata mara 10 kama tu mazingira yatakua ndivyo sivyo nnavotaka, sasa hata nikiishi na mtu nataka aende kama nnavotaka... akienda sivyo naona kama naishi na mzigo fulani
yani mtu anaeharibu mazingira yangu namchukiaga kabisa...
Yaani mi nakasirikaga kweli mtu akiharibu nilichofanya,yan hua nataka pasivurugiwe,kama nimepanga vitu ndan mfano jikoni nimepanga vyombo vizuri mtu akija kuchukua chombo huku anavuruga vuruga ntakasirika sana
 
Uyo ni mm kabisa
kiasi hata ndugu zangu wananichukia nikianza kupiga deki sitaki kumuona mtu kapitisha guu lake, yani wananijua ntanuna ntarudia sili sikuhiyo ntakavyonuna...
Halafu sipendi mtu asijue thamani ya nilichokifanya... unapokanyaga nilipodeki nakufokea hata ukiwa mkubwa kwangu... yani mm na mazingira mazingira na mm, mpaka wananiambiaga nyumbani kwako hatutakuja...
hii tabia kumbe tunayo wengi,mi sa nyingine nikikaa peke angu naanza kujiuliza hivi hii ndo gubu au ni nini?Lakini najiona sina gubu ila wao ndo wana dharau nnachokifanya
 
Tunafanana
kwakweli, afu siwezagi kujifake kuwa sijachukia,siwezi kabisa, au nijidanganye eti napaacha yani moyo utanisumbua ntaenda kusafisha tu.
na nna penda kuwa mkweli ukiniudhi nasema yani siwezi kukaa na dukuduku
 
hii tabia kumbe tunayo wengi,mi sa nyingine nikikaa peke angu naanza kujiuliza hivi hii ndo gubu au ni nini?Lakini najiona sina gubu ila wao ndo wana dharau nnachokifanya
mm najiulizaga hivi ni roho mbaya au nasema basi naacha maana ntashindwa kuishi na watu ,lakini wapi siwezi kufumbiaga macho
 
Hapo kwenye Oedipus Complex naona umeniacha! Unamaanisha hali ya kukosa upendo wa wazazi ndo Oedipus Complex au nimekuelewa vibaya?
Hiki ni kipindi hisia za mtoto zinaanza kutengenezeka hasa kwa mtu wa tofauti na jinsia mfano Baba na Binti ake, mama na wa Kiume......
 
kama mtu akupita stage hii sababu ya kutokuwepo au mzazi kutokuwa na muda sana na wanae baadae ndio kuna shida inajitokeza miaka ya baadae
 
Back
Top Bottom