Iamwhoiamm
JF-Expert Member
- Oct 18, 2022
- 503
- 890
Yuko sahihiEndelea au unataka kujifunza ngoja wataalamu wakuje.
Kwa hiyo wanawake wanapenda hekaheka za wahuni kwenye mahusiano?Wanawake wanapenda Wanaume wahuni huo ndo ukweli angalia hata Wanaume wengi wenye akili wanawake hawawapendi ukiwa proper organized ni ngumu sana wanawake kukupenda in short wengi watu wastaarabu mapenzi yanawatesa
Ndo hivyoKwa hiyo wanawake wanapenda hekaheka za wahuni kwenye mahusiano?
Iko wazi wanawake walio wengi sio wote wanapenda wahunikadr unavyohis unanza kuyaelw mapnz ndy unazd kuwa huyajui, unaeza kuw bad boy kujfny unapotezea dem nae akakupotezea mazma, unaeza kuw nice boy dem akakuona mshmba wakuja, yan kla dem hik anakitaka yule mwnzke hapend kun wnwke wnpend sna attention la sivyo anaona hujal wengne ukmpa too much attention anaona unamfatlia sna na unambana anakudump.....
CONCLUSION:the thing has got no formula prd!!
Hata mimi demu akiwa na pigo za tattoos, vipini, shanga, vikuku, dela bila chupi ndani yaani akikaa kimalaya malaya huwa ananipagawisha sana. Mara nyingi wa hivi huwa hawaniangushi kunako 6×6Ndo hivyo
Nakazia hapakadr unavyohis unanza kuyaelw mapnz ndy unazd kuwa huyajui, unaeza kuw bad boy kujfny unapotezea dem nae akakupotezea mazma, unaeza kuw nice boy dem akakuona mshmba wakuja, yan kla dem hik anakitaka yule mwnzke hapend kun wnwke wnpend sna attention la sivyo anaona hujal wengne ukmpa too much attention anaona unamfatlia sna na unambana anakudump.....
CONCLUSION:the thing has got no formula prd!!
Depal nikwel hili?Wanawake wanapenda Wanaume wahuni huo ndo ukweli angalia hata Wanaume wengi wenye akili wanawake hawawapendi ukiwa proper organized ni ngumu sana wanawake kukupenda in short wengi watu wastaarabu mapenzi yanawatesa
Saikolojia ni SOMO LINALOHUSIANA NA TABIA YA MWANADAMU NA JINSI GANI UTATUA TATIZO LA MWANADAMU MWENYE SUALA LINALOMTATIZA