Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 9,761
- 15,577
Kulisema hili naanzia hapa kwa watu wangu wa nguvu wana MMU.
Kusali au kuabudu lazima yatumike maneno.
i. kusali kwa Kuongea.
ii. Kuimba
iii. Tafakuri (meditation) aka kimoyomoyo
Roho zinatawaliwa na maneno, kuroga kwenye mapenzi lazima kunuwia maneno, kumuomba Mungu lazima kutumia maneno, kuita majini yanaitwa kwa maneno, kukaribisha malaika ni maneno tu.
Niende kwenye mada.. 😃
Unaweza kutambua shauku ya kimapenz ya mtu kupitia playlists ya nyimbo zake.
Binafsi kwenye simu yangu nyimbo nimezipanga kwenye makundi manne.
i. Gospel
ii. Za kidunia.
iii. Hiphop ngumu
iv. Love song
Tunasema nyimbo zinakaribisha uwepo.
Kuwa na kipawa cha kutambua tabia ya Mtu basi automatic Mungu anakupa kupenda vyote kwa pamoja, ili kukusaidi kujua kupenda kitu fulani kunasababishwa na nini au kuna sababisha nini.
Kwahiyo iko hivi..
Ukikuta mtu anasikiliza nyimbo za mapenz sana, basi zile nyimbo zinamchochea yeye kuzidi kupenda mapenzi sana kupita kiasi.
Ukikuta mwanaume anasikiliza zile hiphop ngumu kabisa husikii nakupenda au umeumbika, neno ambalo unaweza kusikia labda ni "mfundishe dada ako kutilia, mwambie kuna magonjwa lukuki" 😃😃😬
Nyimbo inakalibisha roho fulani iingie ndani yako,
Nyimbo inauwezo mkubwa wa kumzamisha mtu katika ulimwengu wa kiroho kwa viwango vya juu sana kuliko maneno ya kawaida.
Kwa upande wangu naweza kutana na binti nikifanikiwa kushika simu yake kama najua anapenda muziki, cha kwanza nitaenda kuangalia nyimbo anazosikiliza sana ni zipi... nikijua nakua na uwezo wa kupima huyu mtu akipenda anapenda kwa viwango gani, anazama kihisia kwa kiasi gani.. kupitia playlist ya nyimbo tu.
Binafsi huwa nikiwa na mahusiano na naona kama nilie nae nakosa muda mzuri wa kuonesha Utamu wa Mapenzi huwa nachukua muda kusikiliza nyimbo za mapenz yani nikitoka hapo naenda kumpenda dada wa watu hadi ajihisi yupo peponi.
Kwahiyo kuwa makini na nyimbo unazosikiliza, musics are very spiritual na jambo likishakufika rohoni ndio basi tena huwezi kutoka
Tukutane
Jamii intelligence
Nitaeleza kwa upana wake,
Music can be a highest form of player and inviting spirit.
And then, another upcoming thread is..
Spiritual meaning of having Sex in a dream.
ujue kwanini unaota ukifanya mapenz na ex wako.
by. Missionary Surya