Duh!Ukuta = ukhti
Ubuyu = Abui
Taulo = Ta'al
Naacha kuvuta!Ukuta = ukhti
Ubuyu = Abui
Taulo = Ta'al
Mimi nimerudiaNaacha kuvuta!
Ongezea na weweDuh!
Huyo ni sawa na yule aliyeenda uarabuni. While at bus stop akataka kuvuta sigara hana kiberiti. Ndipo alimuona mvutaji mwenzie na sigara mdomoni akamuomba "jehannam"Ongezea na wewe
Kuna mtu alienda uarabuni hajui hata neno
Akaenda sokoni kamkuta mzee wa kiarabu anauza mboga mboga.
Jamaa akawa anasonta tu na mzee anataja
BAMIA?
Jamaa akashtuka
Akaonesha kwa kidole tena akaambiwa na mzee BILINJAN (bilinganya hizo)
Akajua huyu mzee lazima wa unguja huyu
Akaanza babu mambo?
Mzee anashangaa
HaahahahhaHuyo ni sawa na yule aliyeenda uarabuni. While at bus stop akataka kuvuta sigara hana kiberiti. Ndipo alimuona mvutaji mwenzie na sigara mdomoni akamuomba "jehannam"
Kumbe mnaokijua kiarabu wengi humu maana kuna waarabu na wanaoongea kiarabuSabaa=saba
Khamsini =hamsini
Shukran=asante