FlyingbirdTanzania
New Member
- Oct 22, 2019
- 1
- 0
Kutokana na vijana wengi kushindwa kuendelea na masomo, au kusoma katika mazingira magumu ya kukosa vitendea kazi, baadhi ya vijana wa kitanzania wameamua kuanzisha foundation hii 'Flying Bird With A Broken Wing Foundation' (FlyingbirdTanzania), kwa lengo la kuwaleta pamoja wadau wa elimu, wazazi, wanaharakati, viongozi wa dini, wafanyakazi wa serikali na mashirika binafsi, vijana, wanafunzi na wananchi wote kwa ujumla kwa pamoja waweze kufanikisha utatuzi wa changamoto hizo.
Kwa kuweza kujitolea kwao misaada mbalimbali, ikiwemo sare za shule, madaftari, kalamu, vitabu vya kiada na ziada, taulo za kike, viatu, soksi, sweta, mikoba n.k au fedha taslimu. Kwa kuwasaidia vijana kuzifikia na kuzitimiza ndoto zao.
Elimu bora ndio mkombozi wa jamii kimaadili na kiuchumi, na vijana ndio taifa la kesho.
#Ndege_arukae_mwenye_bawa_lililovunjika.
FlyingbirdTanzania
(Facebook, Twitter, Instagram, Jamiiforums)