Ndo masharobaro hao?Sasa hapo mwanaume ni nani maake naona wote wamesuka nywele na wamevaa nguo za kitchen party(zakumelemeta)
ah haaa haaa haaaaa.................nimeshangaaa sana,daaah mtoto wa kiume afu,sijui anakula na kuliwa???mkwe kasuka du! kameruni mali yako hiyo.
thethethet! anazo nyingi sana!!mkwe kasuka du! kameruni mali yako hiyo.
cpendagi kukosoa but huyu dada ananichoshaga jamani na uvaaji wake, hebu aamie kwenye vitenge labda kidogo, cjawahi kumuona kapendeza cjui ni macho yangu, hilo gauni na hiyo bra jamani, hizo kucha,nywele, wanja....wacha tu ninyamaze, kwa mchumba ndio nimebloo kabisa.....nawatakia kila la kheri....