Said Mwema sasa ni raia, aburuzwe mahakani rasmi!

Kuna watu wanatilia mashaka juu ya uwezo wangu wa sheria, niwaondolee wasi wasi huo kwamba ni kweli mi si mwanaaheria. Lakini wote walioshitakiwa siyo kweli kwamba wamefanya makosa kwa mikono yao.

Mauaji mengi chini ya Mwema yana sura ya kupangwa! Unaweza kusema kifo cha Mwangosi hayakupangwa? Dr Slaa mbona alimwandikia ujumbe akimweleza juu mipango ya mauaji ya kesho yake na hakuwahi kukana?

Siyo kweli kwamba ukiwa Ccm utetee kila kitu, hakuna kinacholingana na uhai wa mtu! Ma haki ya kwanza kabisa ni kuishi. Anayeshiriki njama yeyote anashitakiwa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom