Said Arfi - Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA ajiuzulu rasmi!

ChaDema kushney kabisa sasa, mmeanza uroho wa madaraka mapema hivi kuelekea 2015, mkipewa nchi na saccos yenu si ndio mtajambisha watu mavi nyie
 
Hivi kama Allah ni Mungu wa kweli alishindwa vipi kuifanya Dunia nzima kuwa waislamu?

Badala yake wafuasi wa Allah hawafiki hata idadi ya robo ya binadamu waliopo Duniani.

Jinga wewe ndio maana mnajambajamba tu kushindana na mtu mmoja tu Kiranga na anawatowa knock out kwa hoja zenu mufilisi na za kufikirika. Fanculo.

Tumia kichwa kuwaza, usitumie ------ cio dunia, jiulize kuna hata bara ambalo lina waumini wa dini moja tu?
 
Last edited by a moderator:
Wadini sasa ni CDM! Lengo Lao ni kufukuza waislam wote! Hivi CDM Waislam wamewakosea nini!
Acha unafki wewe,hizi sera zenu zitawatokea puani siku moja,mnafikiri unakichafua chadema kumbe tabaka linakua hadi uko kwenu,tulia mziki wake unakuja na ni bora ukae na ID feki hivihivi...
 
Inawezekana kati ya Argo ama Baregu mmoja wao ndiye M2, sasa wameanza kujihami kabla ya uchunguzi. Waende salama, sisi na Chadema, Chadema na sisi. Namshauri mzee Arfi kama anaona kuna unafiki Chadema ahame chama, sio kujiuzulu uongozi tu.
 
kwani ndio mfanyakazi wa makao makuu aliyemsema Lissu?? acha kiherehere wewe

ally khana pole na janga ndo hivyo tena halafu mbona kama hiyo barua yake imeandikwa na salvaa coz uandishi na uchaguzi wa maneno vinafanana
 
Mimi natokea upande wa kaskazini mashariki, na wagalatia sio marafiki zangu!
Na hivyo ulivyonitaja hapo juu ndio mimi haswaa! Ni mdini mpaka kisogoni!
Si afadhali mimi nasema hadharani!
Kuliko hao makafiri wa chadema wanaojifanya wako neutral kumbe WANANUKA UGALATIA MPAKA KWENYE MAKALIO!
mnfnsssssss!
We chonga tu ila uyo Ritz atawasugulisha lami hadi makalio hakuna rangi mtaacha ona...
 
Wanajamvi..,
Najua bado mko katika mrundikano wa fikra mkijaribu kupata majibu sahihi juu ya Uamuzi wa Kamati kuu ya Chadema dhidi ya Zitto na Mkumbo. Nami nipo zangu ofisi za Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi nikijiandaa kuelekea nyumbani baada ya kumaliza majukumu yangu ya siku nzima. Namshukuru Mungu kwa kuwa mwema sana kunionjea njia hii mapema, maana nilikuwa katika upotevu mkubwa.

Nimepata taarifa kutoka katika vyanzo vyangu vya kuaminika kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha demokrasia na Maendeleo ambae pia ni mbunge wa jimbo la mpanda Said Arf ameweka nia ya kujiuzulu nafasi yake hiyo na anatarajia kuita vyombo vya habari kutangaza azma yake hiyo.

Naomba kuwasilisha.

UPDATES:

Said Arfi - Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA amejiuzulu rasmi nafasi yake jioni hii.

Arfi ambaye pia ni mbunge wa Mpanda mjini (CHADEMA) amefikia uamuzi huo leo baada ya Kamati Kuu ya CHADEMA kuwavua uongozi Zitto Kabwe na Dr. Kitila Mkumbo.

Nafasi ya Zitto amepewa mchungaji Peter Msigwa

=============

BARUA YAKE YA KUJIUZULU:



UPDATES:

Prof Baregu nae ajiuzulu nafasi zake ndani ya Chadema. Nitawapa taarifa zaidi, kama kutakuwa na tamko la maandishi la kujitoa kwake.
bado unakipenda chadema mwenzako shonza anasoma UDOM ameshaona mambo hayaeleweki huko shauli yako wewe endelea kupiga polojo Huwajui CCM.....
 
Anzisheni Cha Kabila lenu Kwanza wahindi na waarabu ni wavamizi waondoke wapumbavu wakubwa na Wangojee waone Nyendo zao zina somwd kama watapiga hatua hata moja ya kuua CHAMA. Asiyependa Chadema ATOKE
 
Bahari huwa na tabia ya kutokukaa na uchafu, huu ni mweendelezo wa kujichuja ili kuiacha bahari ikae safi.
Wewe jamaa mnafiki sana wewe sindiyo ulikuwa wa kwanza kulalamika kwa Mods wafute hii thread kuwa yakizushi saizi tena umebadilika umebakia peke yako tu Chadema.
 
Kulia na kucheka zote kelele mnawafukuza madiwani 4 wachaga halafu mnawateuwa madiwani tena 4 wachaga, teh teh teh
Utawataja sana wachagga ila huwapunguz chochote,we ni mnafki,mdini na mkabila mkubwa lets see mwisho wako ni nin?
 
nauliza hivi zitto angekuwa mchaga angefukuzwa
Hiyo red ...huu ukabila na udini unaofumbiwa macho na ccm, serikali na vyombo vyake vya usalama na kudhani ndio mbinu ya kuwa-win wapinzani tunaanda tatizo kubwa sana nchii hii litakalokuja sababisha makubwa zaidi ya yale ya Rwanda na watoto na wajukuu zetu watakuja kupiga mifupa yetu viboko. Haya Maneno yangu naamini yatadumu milele na namwomba Mungu aje anisamehe mimi kwa kuyasema haya kuwa nilitumua nafasi yangu ndogo kati ya madharimu kuonya
 
Katibu mkuu padri, naibu katibu mkuu ni mchungaji, mbowe mwenyekiti mzee wa kanisa, sasa nafasi ya Arf sijui atapewa mchungaji gani?
 
Anzisheni Cha Kabila lenu Kwanza wahindi na waarabu ni wavamizi waondoke wapumbavu wakubwa na Wangojee waone Nyendo zao zina somwd kama watapiga hatua hata moja ya kuua CHAMA. Asiyependa Chadema ATOKE
Massawe Mnama! Punguza munkali.
 
Back
Top Bottom