Mtajibeba. Mtu mwenye akili timamu hawezi kuwa na nyie mnaopora ruzuku ya chama na kwenda kununua majumba dubai. Chama kiko hoi bin taabanmpaka 2015 tutajua nani yuko na sisi na nani yuko na ccm...budget ya mwaka jana haijatekelezwa kwa zaifi ya 40%, deni la taifa linazidi kuongezeka halafu unatuletea upumbavu...
mpaka 2015 tutajua nani yuko na sisi na nani yuko na ccm...budget ya mwaka jana haijatekelezwa kwa zaifi ya 40%, deni la taifa linazidi kuongezeka halafu unatuletea upumbavu...
Said arf amegoma kabisa kuwa msukule
Nyie simpo na wakaskazini wenzenu unataka nani tena awe na nyie.mpaka 2015 tutajua nani yuko na sisi na nani yuko na ccm...budget ya mwaka jana haijatekelezwa kwa zaifi ya 40%, deni la taifa linazidi kuongezeka halafu unatuletea upumbavu...
Jimbo la Arfi wote wanaugua visukarindiyo maana Arfi ameunga mkono ili kumalizia sehemu iliyobaki ya maendeleo jimboni mwake, big up sana kwa huyu mzee
Yule sio msukule mwenzio, hawezi kushikiwa akiliKwi kwi kwi! Huyu mzee kisukari kimeua uwezo wake wa ufahamu
Kwi kwi kwi! Huyu mzee kisukari kimeua uwezo wake wa ufahamu
Yule sio msukule mwenzio, hawezi kushikiwa akili
Kuanzia lini? Jana alipounga mkono bajeti au tangu zamani akiwa makam mwenyekiti wa freeman mbowe (dj zero) taifa?Jimbo la Arfi wote wanaugua visukari
Jimbo la Arfi wote wanaugua visukari
SLAA alihama CCM akiwa na umri gani?
Huyu Said Arfi, ni mtu makini aliyekataa kuwa msukule wa Dr.Slaa na Mbowe.
maneno ya mfa maji, Mzee Arfi jembe wewe.
Wewe unagongewa pia,mbona sisi atusemi?Unamshikaje akili mgonjwa wa kisukari? Yule hata mkewe watu wanamgongea. Sasa huoni ana frustration tupu?
Nyie simpo na wakaskazini wenzenu unataka nani tena awe na nyie.
Ugonjwa hauombwi usiwe -----'e hata wewe unaweza kuungua sukari au wewe una mkataba na Mungu hauwezi kupata maradhi.Kisukari kinpa uchizi
Huyu Said Arfi, ni mtu makini aliyekataa kuwa msukule wa Dr.Slaa na Mbowe.
Amedhoofika kuliko mtei?Kama alikuwa jembe kwa dada yako sikatai. Ila kwa sasa mzee yule n dhoofulihali.
maneno kama haya ndiyo huwa yanawanyima kura CHADEMA, hata majukwaani huwa wananadi sera zao kwa matusi hivihivi.
Kwenu Yuda ni mtu makini! Huyo ni mchumia tumbo tu ambaye baada ya awamu hii ubunge atauskia tu!