assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
Makamu mstaafu au aliyejiiuzulu? Leo ndio kajua wananchi kwanza? Jana katibu wake Mona Joseph alikuwa mlele akigawa kadi za ACT .....
Huyu Said Arfi, ni mtu makini aliyekataa kuwa msukule wa Dr.Slaa na Mbowe.
Tumekusoma mwanachama mlezi wa ACT.makam mwenyekiti mstaafu CHADEMA amesema wananchi wake kwanza chadema baadae. hawezi kupinga mambo ambsyo yana maslahi na wananchi eti kwakuwa yameletwa na ccm.
source. nipashe ya leo.
ni kweli kwa umri wake kutangatanga na vyama ni kujidhalilisha kisiasa. Ni sawa na mzee wa miaka 60 kuanza kutangatanga mabarabarani kupigana vikumbo na vijana wa miaka 25.Said arfu yupo njia panda
aendelee kuwa chadema au akubali kurubuniwa na kina zzk,pmj na umri wote ule
Siasa hiyo mkuu.Huyu Said Arfi, ni mtu makini aliyekataa kuwa msukule wa Dr.Slaa na Mbowe.
Muulize kama Mona hakuwa Inyonga jana jumapili......acha majungu
makam mwenyekiti mstaafu CHADEMA amesema wananchi wake kwanza chadema baadae. hawezi kupinga mambo ambsyo yana maslahi na wananchi eti kwakuwa yameletwa na ccm.
source. nipashe ya leo.
Yupo sawa taifa kwanza chama badae
Nimeanza kugundua kuwa Wapinzani wanajua kazi inayofanywa na CCM lakini kwa sababu ni sera yao kupinga kila kitu basi wanalazimika kufanya hivyo.makam mwenyekiti mstaafu CHADEMA amesema wananchi wake kwanza chadema baadae. hawezi kupinga mambo ambsyo yana maslahi na wananchi eti kwakuwa yameletwa na ccm.
source. nipashe ya leo.
ni kweli kwa umri wake kutangatanga na vyama ni kujidhalilisha kisiasa. Ni sawa na mzee wa miaka 60 kuanza kutangatanga mabarabarani kupigana vikumbo na vijana wa miaka 25.
makam mwenyekiti mstaafu CHADEMA amesema wananchi wake kwanza chadema baadae. hawezi kupinga mambo ambsyo yana maslahi na wananchi eti kwakuwa yameletwa na ccm.
source. nipashe ya leo.