Said alimpenda mkewe kupitiliza

Kuna mwingine akiona unampenda Sana kiasi unashidwa kujizuia anaweza akaitumia hio mpenyo kwa faida yake yeye mwenyewe, na hata kukuendesha vyovyote vile anavyotaka.
Ni wachache Sana ambao akiona unampenda zaidi atauthamini upendo wako kwake na atakueshimu kwa kumpenda.
 
Hii mitandao bana, inafanya watu wachelewe kukomaa kiakili. Huyo mams nae ni kiazi, kama jamaa alikua anamsaidia kwanini amrecord? Na pia kama haumwi, then hakua anajua majukum yake kama mke wa jamaa. Thats why wanasema alifuata mapene kwa msela.
 
HAKUNA KITU KIGUMU KATIKA MAISHA, KAMA KUCHAGUA WA KUISHI NAYE. ANAWEZA KUWA RAFIKI YAKO MAISHA YOTE AU AKAWA MSALABA WAKO MAISHA YOTE.
#CHAGUA KWA BUSARA
Maneno yamenigusa sana..Nalichukua hili
 
Hii mitandao bana, inafanya watu wachelewe kukomaa kiakili. Huyo mams nae ni kiazi, kama jamaa alikua anamsaidia kwanini amrecord? Na pia kama haumwi, then hakua anajua majukum yake kama mke wa jamaa. Thats why wanasema alifuata mapene kwa msela.
Daaaaa umeona mkuu ndo shida hiyo kwenye NDOA mke na mume msipo elewa majukumu yake ya NDOA Ni shida Sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…