Moronight walker
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 3,103
- 4,724
Mwandiko huu unachafua lugha yetu.Said alimpenda mkewe kiasi Cha kupitiliza akafika stagi ya kuwa na wivu mapaka kumzuia asiwe anatoka home.
Said inaonesha alifika stage alikuwa anashidwa kujicontrol yeye Kama yeye akiwa na mkewe, ushaidi mmoja wapo ndo huu, [emoji116]
View attachment 2249675
- Ila hatujui labda inawekana yalikuwa mapenzi.
Kweli kabisa.HAKUNA KITU KIGUMU KATIKA MAISHA, KAMA KUCHAGUA WA KUISHI NAYE. ANAWEZA KUWA RAFIKI YAKO MAISHA YOTE AU AKAWA MSALABA WAKO MAISHA YOTE.
#CHAGUA KWA BUSARA
😂😂😂😂😂😅😅😅limbwata
Inawezekana sana tu kama mkipendana kwa dhati😂😂😂😂😂
Yapo hayo ndani ya NDOA za watu, kwa kawaida sio rahisi kwa mwanaume kufanya Mambo hayo Kama yupo home tena Kama mkeo sio mgojwa. Ni ngumu sana, ila kwa jamaa hapa daaaaa 🙌🙌🙌🙌🙌
Inawezekana sana tu kama mkipendana kwa dhati
😅😅😅limbwata
... huu upuuzi wa mwanamke kujua umempenda kupitiliza wanaume inabidi tuuache, jamaa anaonesha hakuwa anajiamini kwa huyo mwanamke na mwanamke alijua wazi kutojiamini kwake na hakuwa na uwezo wa kuja kuachwa kitu ambacho mwanamke akijua ni sumu mbaya sana kwenye mahusiano sababu atakuwa anakupelekesha anavyotaka na hatokuwa na nidham ikifika katika stage ya kutaka kumuacha uwezo huo hutokuwa nao na ukifikiria ataenda kwa mwingine wivu na tamaa vinawaka rohoni unaona solution kuu ni kufanya aliyofanya ili wote mkose. Wanawake ni urithi wetu, tuwapende kwa kiasi na muda mwingi tuishi nao kwa akili sio kimwili sana (mfano kumfanyia matendo hata yasiyo na ulazima na pengine ya kukuumiza kwa lengo la kumridhisha tu) pia usije ukaruhusu ajenge kujiamini kulikopitiliza kwako all in all maisha yanaendelea.Said alimpenda mkewe kiasi Cha kupitiliza akafika stagi ya kuwa na wivu mapaka kumzuia asiwe anatoka home.
Said inaonesha alifika stage alikuwa anashidwa kujicontrol yeye Kama yeye akiwa na mkewe, ushaidi mmoja wapo ndo huu, 👇
View attachment 2249675
- Ila hatujui labda inawekana yalikuwa mapenzi.
Yapo lakini sometime vitu hivo vinakuwepo hasa muda ambao mnakuwa hamna majukumu kiivo hasa muda ambao mpo home tuYes inawezekana , ila kumbuka kuwa Kuna majukumu ya Mume na majukumu ya mke katika NDOA ndugu.
Said alimpenda mkewe kiasi Cha kupitiliza akafika stagi ya kuwa na wivu mapaka kumzuia asiwe anatoka home.
Said inaonesha alifika stage alikuwa anashidwa kujicontrol yeye Kama yeye akiwa na mkewe, ushaidi mmoja wapo ndo huu, [emoji116]
View attachment 2249675
- Ila hatujui labda inawekana yalikuwa mapenzi.
Kabisa mi mwenyewe sioni cha ajabu hapoKama wanaume mupo hamujuwi kupika.. musiwashangae wanaojuwa..