Saibaba ya mwisho Dar - Arusha - Dar ni hovyo kabisa lakini bado watu wanaipenda sana

hili saibaba kwakweli ni bovu nilipanda mwaka flani nikiwa naenda arusha kwenye interview..tulitoka dar saa 7:30 huko njian nikupakia kwa kwenda mbele kule nyuma wameweka mpaka vigoda,kufika segera nyomi ilianza kujaa nika notice wengi ni wezi wanavizia abiria wanaolala waibe mabegi,kufika hedaru kuelekea sami tayar ilikua saa 4 usiku gari taa kubwa za mbele hazifanyi kazi kwahiyo dereva akiona gar inakuja mbele inabid aingie pemben mana magar haswa makubwa yaliyokua yanakuja yalikua yanadhan ni piki piki kwahiyo tulikoswa koswa njia nzima kugongwa na malori,tukapiga simu moshi polis kuwa hili bus lizuiliwe polis wakasema sawa moshi tukaingia saa nane usiku hakuna cha polis kusimamisha bus wala nin,arusha tukaingia kumi kasoro.. ukipanda saibaba uwe na roho yakibaharia kweli kweli
Duh Hilo Basi Ni kiboko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Route ya Mwanza kutokea wapi wakati barabara zimemalizika miaka ya karibuni hakuna route ya mabasi mazuri zaidi Northern route
Asante kwa kumjibu huyu instanbul hajui kuwa hata hayo mabasi ya mwanza mengi Ni ya watu wa kaskazn? Watu wa kaskazn pekee wanamiliki karibu 50% ya kampuni zote za mabasi
Kaskazn ndio magari yenye ubora yanakoanzia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaoishi mikoa ya kaskazini Arusha na Kilimanjaro siyo wageni sana wa kampuni ya mabasi ya Saibaba!

Kuna Saibaba ya mwisho kutoka Dar to Arusha and Vice versa! Shida tupu. Halinaga haraka na mtu, taaratibu kama kinyonga.

Mara nyingi linaondoka Moshi / Dar saa 7 mchana bila wasiwasi wowote.

Huko njiani sasa, linapakia kila kituo. Likifika kituo chochote linasimama muda mrefuuu bila aibu.

Walishazoea ukitoka Dar lazima Arusha uingie saa 630 mpaka 7 usiku.Vivyo hivyo kama unaelekea Dar.Na njia yake kuu ni ile ya Chalinze.

Na abiria wengi huwa wamelewa, kila kituo ni kuchimba dawa mwanzo mwisho. Hawana wasiwasi.

Saibaba ya mwisho adha sana.Kama huna emergency usipande kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
LINAPENDWA KWA HIZO SABABU ULITOZIITA MBAYA.. halina haraka,unachimba dawa popote. wachelewaji linawafaa..linasimama kila kituo..
 
Wanaoishi mikoa ya kaskazini Arusha na Kilimanjaro siyo wageni sana wa kampuni ya mabasi ya Saibaba!

Kuna Saibaba ya mwisho kutoka Dar to Arusha and Vice versa! Shida tupu. Halinaga haraka na mtu, taaratibu kama kinyonga.

Mara nyingi linaondoka Moshi / Dar saa 7 mchana bila wasiwasi wowote.

Huko njiani sasa, linapakia kila kituo. Likifika kituo chochote linasimama muda mrefuuu bila aibu.

Walishazoea ukitoka Dar lazima Arusha uingie saa 630 mpaka 7 usiku.Vivyo hivyo kama unaelekea Dar.Na njia yake kuu ni ile ya Chalinze.

Na abiria wengi huwa wamelewa, kila kituo ni kuchimba dawa mwanzo mwisho. Hawana wasiwasi.

Saibaba ya mwisho adha sana.Kama huna emergency usipande kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Malengo yako hayaendani nalo...hili ni la watu wenye mishe asubuhi lakini asubuhi ya siku inayo wanataka kuwa mkoa mwingine...

As long as asubuhi litakuwa limefika ni baridi sana....panda ndege Kaka
 
Njia ya kaskazn inaongoza kwa mabasi Safi unajua tz nzima makampuni ya mabasi zaidi ya 50% yanamilikiwa na watu wa kaskazn hususan Kilimanjaro
Mabasi yenye viwango Ni
Ester exp
Bm coach
Klm exp
Dar exp
Tilisho
Lim safari
Ibra Line
Machame safari exp
Kidia one
Hai exp
Happy national nk

Sent using Jamii Forums mobile app
Na wewe hapo ktk hayo ma bus unamiliki lipi boss?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hajui kitu huyo achana nae
Kaskazini ni mji wa kitalii mabasi mabovu ni ya kuhesabika

Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani anabishia uzoefu haijui kaskazn huyu
Mwambie atazame kaskazn hadi vichochoron mabasi ya kisasa
FB_IMG_15411699489477682.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom