Lugha yetu imekuwa pana na yenye matata mengi sana.
Ndugu zangu wapenda kiswahili napenda kujua ipi kati ya hizi sentensi ni sahihi na halisi kwa huyu muusika (FUNDI)?
1; FUNDI uashi anatengeneza nyumba.
2; FUNDI uashi anajenga nyumba.
Mchango wako tafadhali.