SAGCOT na Kilimokwanza: nini tofauti?????????

Ngambo Ngali

JF-Expert Member
Apr 17, 2009
3,517
1,360
Jamani wale wajuzi wa mambo ya Tanzania naomba nieleweshwe tofauti kati ya kilimo kwanza na Southern Agriculture Growth Corridor of Tanzania.

Nini madhumuni, walengwa na malengo ya kila moja wapo kama ni vitu tofauti.
 
ebwanae sitaki kuamini kwamba wabongo hatujui SAGCOT, no way, nasikia obama kachip in madolari kibao kwenye hii kitu
 
Back
Top Bottom