Habari wakuu,nilitaka kujua kwa anayefahamu kuhusu issue hii je HD ameachwa au nini kinaendelea.
Mara ya mwisho tuliambiwa kaenda bondeni kwa matibabu mpaka Sasa kimya.
Yapo mahojiano na mwenyekiti wa bodi ya wadhamini Try Again ya tarehe 08,amesema Dilunga mkataba wake umeisha ila bado anahudumiwa na Simba hadi atakapopona...uwezekano wa kuongezewa mkataba baada ya matibabu upo.