Kuna vichaa km Ritz,msalani huwa wanaleta hoja zisizo kuwa na msingi wowote katika jukwaa naomba wana jukwaa wenzangu gamba lolote linalo tokwa mapovu kwa hoja isiyokuwa na msingi tulipotezee bila kulijibu ili lijue na litambue kuwa hatuna mchezo katika swala zima la maslahi ya nchi yetu na kuwa tupo Serious katika kuendelea kufanya mabadiliko na wajue kuwa Vijana,wa mama,wazee wote washaujua ukweli ni upi kwamba yupi KIONGOZI na yupi ni FISADI.