Safu ya Uongozi Mpya CHADEMA

hongereni kwa uchaguzi huru naomba tuchape kazi sasa
 

bado hakuna uhuru ukanda bado upo
 
Mheshimiwa Mbowe na Mh. Abdallah Safari, hongera sana, hiyo ni ishara ya kuaminika sana na wanachama kwa niaba ya wananchi. Wekeni matumaini ya wananchi mbele, tumikieni wananchi, piganieni haki ya taifa iliyoporwa na wanyang'anyi wachache. Ponyeni hii nchi toka lindi la rushwa na ufisadi uliokithiri.
 

Kama wasaliti Mboe na Slaa ndo wasaliti namba moja kwani mbona waliisaliti CCM na kuiingia kwenye NGO CHADEMA
 
CHADEMA ni imara sana chini ya Mbowe na Slaa. Magamba na ACT wasubirini CDM kwenye serikali za mitaa na uchaguzi mkuu
 
Mods nyuzi zingine hazina kichwa wala miguu


tazama kwenye zipu hapo kuna kajamaa kana kichwa tu hakana miguu ila kakisimama kanaleta shiiidaa kwa jinsia ke, .Cdm itasimama tu hata kama unaiona haina miguu wala kichwa.
 
Ukiwaangalia hao makamu wenyeviti kusema kweli ni watu ambao hawana umaarufu wowote ndani ya chama na kwenye jamii.

Wala hawana msaada wowote wa kuisaidia chadema hilo hata wanachadema wanalijua sema wameamua kuwatumia kwasababu wanajua jinsi watakavyokua wanawadhibiti.

Ukisikia chama kupoteza muelekeo ndo huko. Chadema na umaarufu wake na kilipokua kimefikia hakikustahili kuendeshwa na sampuli za watu kawa wale. Mnawaacha watu kama akina Baregu ambao wanakubarika na jamii inawafahamu sana mnaenda kumg'ang'ana na wao watu sijui mmewaokota wapi!!!

Lakini ili mwenyekiti aendelee kula na kujimilikisha chama lazma afanye hivyo kwa kuweka misukule kwan watu kama akina BAREGU huwezi kuwapelekesha kwenye maamuzi, lazma utaulizwa bila woga.

Kwa mwendo huo chadema naiona polepooooole inaanza kuchungulia kuzimu baada ya kifo.
 
Hongereni sana, uchauzi huu ni mwanza wa mapambano makali sana. Take my word, wale wote walioingia kwa rushwa katika ngazi za chini wakae mguu upande.
 
Nawafahamu wote, nimekaa nao na kuongea nao. Wewe ni mwongo, hawa ni watu wenye fikra na maono mazito kuliko unavyofikiri. Mara nyingine ni vizuri kukaa na watu ukawasikiliza na kuwapima.
 

Endelea kujifariji na keyboard,hizo mdogo hata wasira aliziota akautangazia umma,matokeo yalivyokuwa tofautibaliamua kuufyata
 
Hongereni sana makamanda sasa tunawatuma kutumikia wananchi.
 
hii ya kugombea bila ukomo sijui ni demokrasia ya wapi maana hata putin huwa anapumzika.
 
Mbowe amejitafutia mgombea dhaifu akamchukulia fomu na kumpigia kampeni dhaifu
 
Vipi kuhusu Kansa Mbarouk, aliambulia ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…