pascaldaudi
JF-Expert Member
- Mar 25, 2009
- 534
- 97
Yaani pangekuwa na Dislike, yaani wewe ningekugongea 20! Unaleta habari 1/2, 1/2 ndiyo maana yake nini? wewe unadhani wote tuna access ya hizo TBC zenu???Kwa kumuumbua gamba la zenga .poleni sana wana zenga kwa kuuziwa mbuzi kwenye gunia.
Kwa kumuumbua gamba la zenga .poleni sana wana zenga kwa kuuziwa mbuzi kwenye gunia.
wengi wameelewa .Wewe ni gamba ?SISI siyo malaika wa kuweza kujua unachotaka tuzungumzia ni vema ukatoa ujumbe kamili kama huwezi kujenga hoja ndaNI YA jf ONDOKA. hapa hujatujuza huyo silinde kaongea nini.Kuwa mbunifu katika kuelimisha jamii, kumbuka unapotoa mada lengo ni kuwafahamisha ambao hawakusikia.Jirekebishe rafiki
jina langu la nini?Mbona mnaongea kimafumbo? Majina yenu mafumbo..hata na thread zenu mafumbo?
mkuu taarifa imeeleweka!Mbunge silinde alikuwa akichangia bajeti ikafika mahali akasema bado bajeti haijaleta mchango ktk ukuwaji wa uchumi hasa katika swala la kilimo,akasema rwanda waliotoka kwenye vita uchumi wao unakua kwa kasi,sasa mh hamisi akamkatisha na kuanza kukanusha hayo(kupitia taarifa)kwa bahati mbaya mwenyekiti wa bunge akamkatisha dr hamisi kwa sababu alikuwa anatumia muda mrefu kutoa taarifa yake.Mh shilinde alipopewa nafasi mara ya pili ndipo alipomnyoosha dr hamisi,akamwambia wananchi wa nzega wanalalamikia mfuko wa mbolea na pembejeo halafu yeye(hamisi) anatetea uzembe.Kwa ufupi hii ndio scenario iliyomuumbua dr hamisi.Ukitaka exatly what happened kaombe clip TBC au tafuta hansard za bunge!