Safi kijana silinde

Jituoriginal

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2010
Posts
349
Reaction score
32
Kwa kumuumbua gamba la zenga .poleni sana wana zenga kwa kuuziwa mbuzi kwenye gunia.
 
nimeipenda hii style na yaweza kuwa dawa kwa wabunge walopokaji wa ccm wanaotetea chama zaidi kuliko wapiga kura
 
Mbona mnaongea kimafumbo? Majina yenu mafumbo..hata na thread zenu mafumbo?
 
Kingwangwalah anashangaza sana hakukuwa na sababu yeyote ya taarifa kama ndio wamekubaliana kutoa taarifa taarifa basi wabunge wa CCM wanajiabisha hata Simbachawene kamkatisha manake alitaka kuchukua muda wa Silinde bila sababu
 
Wabunge chadema kiboko yao, kigagwala wa nzega hoi taarifa yake bomu kaambiwa apeleke mbolea ya ruzuku nzega...magamba wote kimya ..silinde kawaambia kama wamepoa maana yake yamewaangia
 
Naona viki kamatiwa analeta mjadala usio na tija kuhusu taarifa ya kigangwalla!
 
Kigwangala mb. Wa nzega na c zenga, tafadhali tujuzen ilivokuwa maana wengine tupo mbali na vininga!
 
kuna libunge la magamba linasifia bajeti sasahivi eti sitting allowance si posho za kukaa ni posho za vikao tehe anaitwa sijui naniiii ah taka taka tupu!
 
hebu tusaidieni kutuambia nini kimetokea, wengine hatuangalii bunge!
 
Dawa ya moto ni moto mkali zaidi. Jamaa amedesh kumwaga mboga, msela kafanya kweli kwa kumwaga ugali big up
 
David umefanya kile politician anatakiwa kufanya,kigwangala anaongea upepo ,ukampa hewa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…