Ubarikiwe mkuu,ni muhimu sn kuuzingatia ujumbe,kwani "Aliyejua kuwa kuna dhambi halafu hakuwaambia wenzake atahukumiwa"
Mimi na family yangu tumeshafanya maamuzi mkuu kabla hata ya kampeni kuanza
Hapana_KATIBA ya chenge
Delete ccm kuanzia,DIWANI,MBUNGE,RAIS
Maswali?
Nimetoka babati nikaenda karatu nimerudi arusha, japo kuna mgomo njiani hakuna mabasi na Noah hakuna, ila kuko salama kabisa, hakuna fujo mkuu, safe journey
Dudu!!!!!!!!!!!!!!!!!
Me ndo nafika mkuu muda huu mkuu.Asante kwa taarifa.
Hee jamani nimemwona dada yake MASAI DADA!!!! Wamefanana haoo!
Ufike salamaWakuu,Nipo safarini Tabora to Arusha na ile gari inayopatikana katika orodha ya magari yanayoenda kasi sana kwa sasa, Coast line. Kwakweli ni tatizo hii gari ila sina namna, hata Pinda alisema hakuna namna ni kupigwa tu.Kwa sasa tunaitafuta Singida, tungekuwa tumepita but traffic walizuia gari sehemu kwa muda mrefu. Hofu yangu ni huko mbele kutokana na hali halisi ya mgomo. Nimepata taarifa ya mabasi ya Shaby yalivofanywa huko Mbezi Dar.Barabara ni nyeupe hakuna mabasi tunayokutana nayo siku zote.Arushaone,masai dada na WanaJF wa Arusha nahamia kwenu plz."Sema Hapana Kwa CCM Hapo October, 2015. Mwambie na mwenzako".
Wakuu,
Nipo safarini Tabora to Arusha na ile gari inayopatikana katika orodha ya magari yanayoenda kasi sana kwa sasa, Coast line. Kwakweli ni tatizo hii gari ila sina namna, hata Pinda alisema hakuna namna ni kupigwa tu.
Kwa sasa tunaitafuta Singida, tungekuwa tumepita but traffic walizuia gari sehemu kwa muda mrefu. Hofu yangu ni huko mbele kutokana na hali halisi ya mgomo. Nimepata taarifa ya mabasi ya Shaby yalivofanywa huko Mbezi Dar.
Barabara ni nyeupe hakuna mabasi tunayokutana nayo siku zote.
Arushaone,masai dada na WanaJF wa Arusha nahamia kwenu plz.
"Sema Hapana Kwa CCM Hapo October, 2015. Mwambie na mwenzako".
Jamani masai dada songea tangu lini tena
Teh teh dudu nimelifungia napajua hapa kwa manjereee ni pana visu sana.
Wakuu,
Nipo safarini Tabora to Arusha na ile gari inayopatikana katika orodha ya magari yanayoenda kasi sana kwa sasa, Coast line. Kwakweli ni tatizo hii gari ila sina namna, hata Pinda alisema hakuna namna ni kupigwa tu.
Kwa sasa tunaitafuta Singida, tungekuwa tumepita but traffic walizuia gari sehemu kwa muda mrefu. Hofu yangu ni huko mbele kutokana na hali halisi ya mgomo. Nimepata taarifa ya mabasi ya Shaby yalivofanywa huko Mbezi Dar.
Barabara ni nyeupe hakuna mabasi tunayokutana nayo siku zote.
Arushaone,masai dada na WanaJF wa Arusha nahamia kwenu plz.
"Sema Hapana Kwa CCM Hapo October, 2015. Mwambie na mwenzako".
Asante sn mkuu mkuu wa mji himself Arushaone.Nimefika salama nipo around.This time nipo geto geto si unajua tena masela hahahaaa!