Safarini mji kasoro bahari

Mkuu hii ni lini? kuna nini kimetokea mpaka iwe hivi?
 
duh abood kasusiwa nini, hiyo nyomi mwana si mchezo!
 
foleni ndio ustaarabu ila isiwe ndefu hivi. waongezee wahudumu
 
Mkuu hii ni lini? kuna nini kimetokea mpaka iwe hivi?

Sikuweza kuhoji kamanda mimi nilikuwa napita tu nilipojaribu kumuhoji mpiga debe mmoja akaniuliza unasafiri au? Nadhani walikuwa wako busy kutengeneza $$$$
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…