Ndugu, ninategemea kusafiri kikazi kwenda mikoa wa Lindi na Mtwara wiki ijayo.
Naomba msaada wa bus zuri zinazofanya safari za mikoa ya kusini, na hotel nzuri za kulala na bei zake.
Nasikia kuna kipande cha barabara baada ya kuvuka daraja la Mkapa ambacho bado hakijajengwa kwa kiwango cha lami, je kipindi hiki cha mvua panapitika?

Dar -Mtwara
Ordinary Bus Tsh21500, Semi Luxury Bus Tsh29700, Luxury Bus Tsh32600.
Hao wanaokuandikia kuwa nauli ni 29,000/= sijui wametoa wapi hiyo figure .Magari mazuri ni Machinga na Buti la Zungu zote luxury 2 By 2 nauli 22,000/= . Unatoka Dar saa 12 Asubuhi saa 8 Mchana upo mtwara .Ndugu, ninategemea kusafiri kikazi kwenda mikoa wa Lindi na Mtwara wiki ijayo.
Naomba msaada wa bus zuri zinazofanya safari za mikoa ya kusini, na hotel nzuri za kulala na bei zake.
Nasikia kuna kipande cha barabara baada ya kuvuka daraja la Mkapa ambacho bado hakijajengwa kwa kiwango cha lami, je kipindi hiki cha mvua panapitika?
Safari ni ya kikazi je kwanini usipande Ndege? Nafikiri kwenda na gari binafsi au Bus ni aghali zaidi na risk ni nyingi mkuu
Hao wanaokuandikia kuwa nauli ni 29,000/= sijui wametoa wapi hiyo figure .Magari mazuri ni Machinga na Buti la Zungu zote luxury 2 By 2 nauli 22,000/= . Unatoka Dar saa 12 Asubuhi saa 8 Mchana upo mtwara .
Sehemu za kulala zito safi kuanzia 35,000/= Lodge inaitwa Free park pia kuanzia 40,000/= Lodge inaitwa Agave sipo kwenye hali nzuri tu.
Ndugu, ninategemea kusafiri kikazi kwenda mikoa wa Lindi na Mtwara wiki ijayo.
Naomba msaada wa bus zuri zinazofanya safari za mikoa ya kusini, na hotel nzuri za kulala na bei zake.
Nasikia kuna kipande cha barabara baada ya kuvuka daraja la Mkapa ambacho bado hakijajengwa kwa kiwango cha lami, je kipindi hiki cha mvua panapitika?
Mbona nimekudokeza mkuu ,kuna Agave na Free Park zote ni lodge nzuriAsanteni sana wakuu, kwa ufafanuzi mzuri wa usafiri wa kwenda Kusini, bado sijaelewa nikifika Lindi na Mtwara nikalale hoteli gani yenye hadhi na huduma nzuri. Naomba ushauri wenu wakuu.
Noted ,ila nauli bado hazijapandaMkuu sisi wote sio wapangaji wa nauli, jukumu ilo lipo kwa Sumatra na kwa mujibu wa nauli zao mpya ndio izo nilizoziweka hapo juu.
Na kikubwa nadhani ndio elimu inatakiwa itolewe kwa abiria ni kuwa hata gar iwe na vitanda ndani, jiko na hata choo lakini isipolipiwa Leseni ya Luxury au Semi Luxury bado gari iyo itahesabika ni ya kawaida na watatakiwa kutoza nauli za Ordinary!
Tuje kwenye gari za Mtwara:
Sumatra hadi leo inazitambua gari mbili tu za kampuni ya Machinga hizi mpya ndio zenye Leseni ya kubeba abiria kwa daraja la kati, kama zilivyo biashara nyingine kipindi hiki ni kigumu hakuna abiria wa kutosha waneongeza nauli hadi Tsh 27,000/- na ukiwa na chini ya hapo hautaachwa ila sasa abiria watakapokuwa wengi nauli mpya ya Sumatra itatumika.
Nadhani ndugu yangu umenielewa, Mtwara gari yenye hadhi ya daraja la kati ni hiyo nyingine zote ni Ordinaries.
Ila kwa ubora na uhakika wa safari Buti La Zungu hana mpinzani!
Machinga Tsh 27,000/-
Buti La Zungu Tsh 22,000/-
Seth Star Tsh 22,000/-
Maning Nice Tsh 22,000/-
Hamanju Tsh 22,000/-
Ng'itu Tsh 22,000/-
Noraiz Tsh 18,000/-
Shillingi Tsh 18,000/-
Southern Exp Tsh 18,000/-
Osaka Tsh 18,000/-
pia kuna lore hotel,Naff
blue hotel,Nalyana hotel zote vyumba kati ya 35000 nakuendelea na
60,000 au zaidi kwa naf blue hotel, precission air wapo daily na j.pili
mara 2 hiyo ni kwa mtwara.kipande cha barabara kisicho na lami kwa sasa
ni kilomita kama 22 hivi huenda mwezi huu sijapita huenda kimepungua
zaidi,karibu sana mtwara lakini haitoki!!
Karibu kusini.. Ila
HAITOKI