monopoly inc
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 5,251
- 11,446
Kunde ekeke alikuwa footballer wa zaman wa Cameron amecheza na akina Roger MillerMkuu naupenda sana wimbo wa pepe kalle Roger milla kuna mahali analitaja jina la kunde ekeke kwa ustadi mkubwa mpaka nikalipenda
Ujakosea mkuu pepe kalle analitaja kwa ustadi mkubwa sana hili jinaKunde ekeke alikuwa footballer wa zaman wa Cameron amecheza na akina Roger Miller
Safi. huyo mwamba anakubalika sana.mskize kitu yake ingine hapo [emoji116][emoji116]Mkuu naupenda sana wimbo wa pepe kalle Roger milla kuna mahali analitaja jina la kunde ekeke kwa ustadi mkubwa mpaka nikalipenda
Safi sana Kunde, kuna mdogo wangu kamaliza Six matokeo ndo ya juzi ila sio mazuri.... analilia degree ‘yoyote’ tu mradi apate mkopo.
Nikimshauri kuhusu fani inabidi niahidi kumlipia ada, hebu tupeane mawazo.... nimsukumize VETA au Diploma kozi gani..?
Acha utotoMkuu Mpeleke Cyprian University akasomee Kozi nzuri tu na inayolipa kwa sasa Kiajira nchini Tanzania iitwayo Musiba Degree.
Shukrani mkuuKaza buti dogo achana na hao wanakukatisha tamaa na comments zao za alijuhaa Bin Kalulu.
Goma ni kaliSafi. huyo mwamba anakubalika sana.mskize kitu yake ingine hapo [emoji116][emoji116]
Hiyo ni kawaida yangu natoa like ata ukiandika pumbaSasa mbona tena ume like huo Utoto Mkuu?
Bro mpeleke veta akapige PLUMBING hatojutia na atajiendeleza mdogo mdogoSafi sana Kunde, kuna mdogo wangu kamaliza Six matokeo ndo ya juzi ila sio mazuri.... analilia degree ‘yoyote’ tu mradi apate mkopo.
Nikimshauri kuhusu fani inabidi niahidi kumlipia ada, hebu tupeane mawazo.... nimsukumize VETA au Diploma kozi gani..?
Kabisa mkuu hii ndio fursaBro mpeleke veta akapige PLUMBING hatojutia na atajiendeleza mdogo mdogo