Safari yangu ya kielimu kunde ekeke

Uzi huu naupa GOLD MEDAL kwa mwaka 2019. Wanaojua elimu ni kidato cha sita-chuo hawawezi kukuelewa
Asante sana....Mkuu
Wengi wanafikili kwenda chuo ndio kufanikiwa wana sahau kila mwaka wana maliza laki 1 kupata ajira ni ngumu sana au haiwezekani kabisa...Soko kwa sasa linaitaji fani na mwenye fani halali njaa...
 
Weka nia sometime tunafeli hesabu kwa sababu ya majukumu kuwa mengi
 
Nitakuja kufanya ziara ya wiki moja
 
Safi sana Kunde, kuna mdogo wangu kamaliza Six matokeo ndo ya juzi ila sio mazuri.... analilia degree ‘yoyote’ tu mradi apate mkopo.
Nikimshauri kuhusu fani inabidi niahidi kumlipia ada, hebu tupeane mawazo.... nimsukumize VETA au Diploma kozi gani..?
 
Wewe unatoka kijiji gani mkuu
 
Hivi kwanini ndugu zetu akina Bishanga mnapenda misifa sana?
Nyie ndo mnamatatizo.


Angalia wakenya,wasouth,wanigeria na wazungu hawaoni tatizo mtu kujisifia alichonacho ndo maana hakuna neno la kingereza Kwa mtu anayependa misifa.

Lakin tz Kwa kuwa tunaroho ya Kwa nini ndo maana kujisifia ulichonacho ni kosa


Hiv kuna mtu anakataza mtu kujisifia alichonacho!!


Utasikia watanzania wanasema wahaya wanasifa, wabinafsi na dharau Kwa kuna mtu kakataza nawe kudharau na kujisifia?
 
nimefananisha hio jina yako na yule mganga wa nakuru. alochanja mtu chale za ulimi ili mait zisimsumbue
 
Utafika mbali sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…