Safari yangu mpya kimaisha

Safari yangu mpya kimaisha

Uza mali zako zote wagawie maskini ujiwekee hazina yako mbinguni.japo ni vigumu kwako na kizazi hiki kinachopenda mali
 
Nilitegemea swali no.1 liwe : Nitapataje pesa?

Unavyoongea ni kirahisi rahisi tu! Hivyo vipesa vyako vitakuishia hapo boda ya Msumbiji na hapo ndipo badala ya wewe kuwakataa ndugu wewe ndiye utakuwa wa kwanza kuwatafuta baada ya kutandikwa na njaa 🤣🤣🤣
 
Interesting,
Anzia Mtwara Mozambique ibukia Durban ukanda huo unaweza fika west Africa ukichoronga hapo kati utajikuta Congo Brazzavile then kula mto tokezea huko Kisangani humo DRC huchomoki mzima.
badae ukifanikiwa unga mpk Libya ukapita Mali Egypt, Morocko Somalia Yemen.
Kote huko unachokitafuta utakipata.
 
Back
Top Bottom