saudari JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 2,655 Reaction score 2,783 Jan 19, 2013 #1 Si ninawauliza nyie mnakwenda wapi????? Wengine mmetuvalia mayeboyebo, wengine makamongo, wengine chachacha??
Si ninawauliza nyie mnakwenda wapi????? Wengine mmetuvalia mayeboyebo, wengine makamongo, wengine chachacha??
MadameX JF-Expert Member Joined Dec 27, 2009 Posts 7,792 Reaction score 3,860 Jan 19, 2013 #2 Jandoni,
mtzedi JF-Expert Member Joined Dec 13, 2011 Posts 6,318 Reaction score 6,653 Jan 19, 2013 #3 MadameX said: Jandoni, Click to expand... Si jandoni,jandoni wanaume hawachanyikani na wanawake hata siku moja wakati wa kwenda jando na hayo si mavazi ya watu wanaokwenda jando.Wanasherekea hao kuzunguka boma.
MadameX said: Jandoni, Click to expand... Si jandoni,jandoni wanaume hawachanyikani na wanawake hata siku moja wakati wa kwenda jando na hayo si mavazi ya watu wanaokwenda jando.Wanasherekea hao kuzunguka boma.
NAGAMAHONGA JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 12,322 Reaction score 10,920 Jan 19, 2013 #4 wasije tu wakaenda kukatana vidude utamu
blackberry m JF-Expert Member Joined Apr 16, 2012 Posts 563 Reaction score 415 Jan 19, 2013 #5 Pana raha yake hapo. Ni ubabe, ufundi na pumzi zako tu hapo.
C CHUAKACHARA JF-Expert Member Joined Jun 3, 2011 Posts 12,388 Reaction score 6,482 Jan 19, 2013 #6 Nao wabadilike, mila zingine acha nazo zingine zihifadhi. Haya ya makatambuga, kukeketa etc achana nayo. Nenda digitali
Nao wabadilike, mila zingine acha nazo zingine zihifadhi. Haya ya makatambuga, kukeketa etc achana nayo. Nenda digitali