Katika kile kinachoonekana kutofautiana na maamuzi ya NEC, baadhi ya wapambe wa Mh SS wanaoshi katika jimbo la Urambo wanafanya maandalizi makubwa ya kumpokea Mh SS kwa maandamano makubwa ikiwa ni pamoja na kukodi piki piki zote za kibiashara katika mji wa urambo, aidha mapokezi hayo ya aina yake yatafanyika katika kijiji cha Ndorobo nje kidogo ya mji wa Urambo na kwa kiasi kikubwa maandalizi yote yamekamilika chini ya uongozi wa Bwana Welly aliyekuwa katibu uchumi na fedha wilaya ya urambo na Katibu mhamasishaji wa vijana mkoa wa Tabora kwa mwaka 2003-2004. wakati huo huo taarifa nilizopata muda si mrefu kutoka kwa wadau wa siasa wa mji wa Tabora
ni kwamba maandalizi kama hayo pioa yanafanyika Tabora mjini chini ya katibu wa siasa na uenezi wa CCM wa Tabora mjini bwana Rashid Ramadhani Tall. kila la kheri Spika tunakusubiri kwa hamu Tabora na mapokezi ya nguvu!

Jamani,
Mzee huyu wa Urambo anapokelewa kwa shangwe, kwa kitu gani hasa? Huyu si ametuhumiwa waziwazi ndani ya kikao cha Halmashauri Kuu ya chama chake cha CCM kuwa, kwa vitendo vyake, anakisaliti chama hicho na akanusurika kung'olewa baada ya kuomba radhi? Sasa ndiyo anazidi kujichimbia kaburi la kisiasa. Si aliwahi kushindwa huyu Urambo mwaka 1995? Sasa, tangu 2005, amekuwa akijaribu kujijenga upya kisiasa, kuchukua ajenda ya "Ufisadi" imsaidie (kwa kushirikiana na timu yake ya Wabunge, wenye gele na usongo na UWAZIRI, inayoitwa "First Eleven": akina Dk. Mwakyembe, Ole Sendeka, Lucas Selelii, Anne Kilango,Stella Manyanya, Betrice Shelukindo n.k. anaowapangilia Bungeni). Lakini kumbe, kwa vile zote hizo ni hila, sasa ameshitukiwa na Chama chake. Hii kwamba anapokewa kwa shangwe ni propaganda tu za kujaribu kumvika nguo!
LAKINI, kama nilivyowahi kueleza hapo awali, mahali pengine humu katika JF, tatizo la mzee huyu la fitina na usaliti wa kisiasa, halikuanza leo! Katika miaka ya mwanzoni ya 1990, akiwa Waziri wa Sheria (na baadaye akaondolewa, baada ya kushindwa Ubunge wa Urambo), alishiriki "kiujanjaujanja" katika hoja ya kutaka kuleta Serikali ya Tanganyika katika mfumo wa Muungano, ili uwe wa Serikali Tatu badala ya Mbili.
Katika kitabu chake, UONGOZI WETU NA HATIMA YA TANZANIA. Uk. wa 20 hadi Uk. 27, Mwalimu Nyerere alimsema vibaya sana Sitta, kwa kupeleka mbele ya Halmashauri Kuu ya CCM, Dodoma, "TAARIFA YA SERIKALI JUU YA AZIMIO LA BUNGE KUHUSU HAJA YA KUUNDA SERIKALI YA TANGANYIKA NDANI YA MUUNDO WA MUUNGANO". Mwalimu Nyerere alisema, kuhusu taarifa hiyo, katika kijitabu hicho: "Taarifa yenyewe ni ndefu, maana ina maelezo mengi ya mapambo tu, au ya kiinimacho(Uk. 20)...Baadaye, baada ya kikao, nilimtafuta Ndugu Sitta, nikampa pole kwa kupewa jukumu la kueleza jambo ambalo halielezeki (Uk. 27)...". Huyo ndiyo Spika Sitta, mbele ya macho na fikra za Mwalimu Nyerere! Hivi ni mpiganaji kweli wa vita dhidi ya "Ufisadi", au ni msaliti tu wa Chama chake? Wana-CCM na msio wana-CCM na ni Watanzania tu wenye nia njema, pimeni!
Bwassa
Katika kile kinachoonekana kutofautiana na maamuzi ya NEC, baadhi ya wapambe wa Mh SS wanaoshi katika jimbo la Urambo wanafanya maandalizi makubwa ya kumpokea Mh SS kwa maandamano makubwa ikiwa ni pamoja na kukodi piki piki zote za kibiashara katika mji wa urambo, aidha mapokezi hayo ya aina yake yatafanyika katika kijiji cha Ndorobo nje kidogo ya mji wa Urambo na kwa kiasi kikubwa maandalizi yote yamekamilika chini ya uongozi wa Bwana Welly aliyekuwa katibu uchumi na fedha wilaya ya urambo na Katibu mhamasishaji wa vijana mkoa wa Tabora kwa mwaka 2003-2004. wakati huo huo taarifa nilizopata muda si mrefu kutoka kwa wadau wa siasa wa mji wa Tabora
ni kwamba maandalizi kama hayo pioa yanafanyika Tabora mjini chini ya katibu wa siasa na uenezi wa CCM wa Tabora mjini bwana Rashid Ramadhani Tall. kila la kheri Spika tunakusubiri kwa hamu Tabora na mapokezi ya nguvu!
Jamani acheni wivu, c wananchi wake wa Urambo wanamwamini bado? Mbona bwana Chenge nae alipokelewa kwa mbwembwe kipindi kileeee.......
Katika kile kinachoonekana kutofautiana na maamuzi ya NEC, baadhi ya wapambe wa Mh SS wanaoshi katika jimbo la Urambo wanafanya maandalizi makubwa ya kumpokea Mh SS kwa maandamano makubwa ikiwa ni pamoja na kukodi piki piki zote za kibiashara katika mji wa urambo, aidha mapokezi hayo ya aina yake yatafanyika katika kijiji cha Ndorobo nje kidogo ya mji wa Urambo na kwa kiasi kikubwa maandalizi yote yamekamilika chini ya uongozi wa Bwana Welly aliyekuwa katibu uchumi na fedha wilaya ya urambo na Katibu mhamasishaji wa vijana mkoa wa Tabora kwa mwaka 2003-2004. wakati huo huo taarifa nilizopata muda si mrefu kutoka kwa wadau wa siasa wa mji wa Tabora
ni kwamba maandalizi kama hayo pioa yanafanyika Tabora mjini chini ya katibu wa siasa na uenezi wa CCM wa Tabora mjini bwana Rashid Ramadhani Tall. kila la kheri Spika tunakusubiri kwa hamu Tabora na mapokezi ya nguvu!
Saaaaafi sana! Na wale vibaraka wa mafisadi mliotumwa kmpiga vita Mh. Sitta karibuni uwanjani mmwage sumu zenu, hazisaidii. Wanananchi wameamua. Si afadhali kumpokea Sitta kwa vifijo kuliko yale ya Fisadi Chenge??? Nitacheka pale atajitokeza kibaraka wa mafisadi hapa na kusema hastahili mapokezi!!!! Kwani yale ya Chenge alistahili??? Sitta amefanya kazi, je Chenge alifanya nini?? Ningeweza ningeshiriki kabisan ili kumuunga mkono shujaa pekee katika historia ya maspika wa bunge letu ambao aliruhusu demokrasia ya mawazo Bungeni. Bunge ni chombo cha Wananchi!! Si mali ya NEC!!!
Mugo"The Great";557959 said:Ni kweli ni vizuri CREDIT iende pale inapostahili. Lakini wasiwasi wangu ni juu ya organizer wa mapokezi bwana Welly, sidhani kama ana ujasiri wa kusimama akitishwa kidogo tu. Manake historia ya huko nyuma inamhukumu. Yalifaa yaandaliwe na mtu mwenye wasifu uliojengeka ndani ya jamii lakini sio huyu ambaye wasifu wake unamfanya kuwa mwepesi kwenye jamii.