Safari ya Songea

Safari ya Songea

SINA JINA1

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
391
Reaction score
152
Habari zenu wanajumuia !
Natarajia kwenda Songea hivi karibuni kutokea Dar naomba taarifa za nauli na basi zuri la kupanda .

Pia naomba taarifa za lodge nzuri gharama iwe kati ya 30,000/= na 40,000/=
 
Nauli 45,000, SuperFeo basi, lodge KIGESU karibu na serengeti pub...
 
gari panda superfeo hotel fikia UGABE hotel ipo stand hapo hapo ni nzuri kwa songea room ni 25,000/ na 35,000/ ni mpya ya ghorofa 3 imefunguliwa tar 5 mwezi huu mkuu
 
BUS ni SUPER FEO EXPRESS nauli 45,000/= ndio mpango mzima, hapo KIGESU ni mbali na Stand Kuu mtafutie iliyo jirani za stand
 
ottawa bus kitu cha scania sio huyo mchina super feo
 
Super
Feo ndio usafiri wa raha na wenye uhakika kwa songea-dar,nauli 45000
tshs.kuhusu lodge nzuri ya kufikia,kwanini bei upange wewe?
 
Habari zenu wanajumuia !
Natarajia kwenda Songea hivi karibuni kutokea Dar naomba taarifa za nauli na basi zuri la kupanda .

Pia naomba taarifa za lodge nzuri gharama iwe kati ya 30,000/= na 40,000/=
Karibu sana mkuu hapa songea.nauli ni 45000/=. basi zuri la wewe kupanda ni Superfeo na hotel au lodge nzuri ni Heritage cottage.Hii ipo njiani kabisa eneo la msamala unashuka gari kituo cha Mauki.Hapo nyuma tu ni hotel wala huhitaji taxi.
 
white house niyofuana yabwina sana iyi pa bombambili
 
Back
Top Bottom