Zogoo da khama
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 640
- 615
Unasema?Awali ya yote niipongeze Serikali kwa kutoa usafiri wa bure kwenda Morocco jambo hili litaongeza idadi ya wapenzi, wanachama na mashabiki kwenda kuishangilia timu yetu.
jambo la kuhudhunisha ni uongozi kuambua kuwalipisha watu nauli ya $1,200 hii nini maana yake? Nani yupo nyuma ya hii biashara? Mtu utaljilipia viza, malazi, chakula na kiingilio bado hata huu msaada wa Serikali mnautolea macho? Nendeni wenyewe na watoto wenu.
Wachezaji,viongozi,benchi la ufundi nasi mashabeek jumla tutakuwa wangapi?Mama atuletee concord tubanane kama ngedere hadi Marrakech.Awali ya yote niipongeze Serikali kwa kutoa usafiri wa bure kwenda Morocco jambo hili litaongeza idadi ya wapenzi, wanachama na mashabiki kwenda kuishangilia timu yetu.
jambo la kuhudhunisha ni uongozi kuambua kuwalipisha watu nauli ya $1,200 hii nini maana yake? Nani yupo nyuma ya hii biashara? Mtu utaljilipia viza, malazi, chakula na kiingilio bado hata huu msaada wa Serikali mnautolea macho? Nendeni wenyewe na watoto wenu.
Nailed 💪🏿📌🔨Vyovyote iwavyo, Simba ni Bingwa
Anataka kufanana na raisi wa kenya huyo
Acha njaa Zako wewe Utopolo.Awali ya yote niipongeze Serikali kwa kutoa usafiri wa bure kwenda Morocco jambo hili litaongeza idadi ya wapenzi, wanachama na mashabiki kwenda kuishangilia timu yetu.
Jambo la kuhudhunisha ni uongozi kuambua kuwalipisha watu nauli ya $1,200 hii nini maana yake? Nani yupo nyuma ya hii biashara? Mtu utaljilipia viza, malazi, chakula na kiingilio bado hata huu msaada wa Serikali mnautolea macho? Nendeni wenyewe na watoto wenu.
Msukuma a.k.a Govinda kubwa la maadui mkono wa sweta.
Mimi sio utopolo tafdhari haya huyo ni utopolo?Acha njaa Zako wewe Utopolo.
Sisi wanaSimba hatiujalalamikia gharama na nafasi zinagombewa. Ila wewe Mtopolo kinakuwashaaaaa, kama vipi chomoa mwiko.
Mimi sio nzi wa kijani please naongea uhalisia je ni wote watamudu hiyo $1,200?Acha njaa Zako wewe Utopolo.
Sisi wanaSimba hatiujalalamikia gharama na nafasi zinagombewa. Ila wewe Mtopolo kinakuwashaaaaa, kama vipi chomoa mwiko.